
finya - scar mkadinali lyrics
[intro]
yeah for real man you already know man
another episode of homa zetu si same mehn for real
[chorus]
yoh finya ikikubamba unaenda nayo
finya finya ikikubamba unaenda nayo
yoh finya ikikubamba unaenda nayo
huku unaeza guza guza guza guza
alafu tena finya ikikubamba unaenda nayo
finya finya ikikubamba unaenda nayo
yeah finya ikikubamba unaenda nayo
huku unaeza guza guza
[verse 1]
aah ka mboga ya kienyeji managu
nina pain waliwaitanga ma monkey ma baboon
mickey mouse rat, kazi ni kukaa tu
nina spit ka woriah
aki aki hathuu
hii ni part one basi ngoja part two
naeza bonga patois don’t you f*ck with the crew
pull up, pull up wid di ting deh
you know what it do
alinilink via gram nikapandwa libido
sidai usoo, i just wanna rap bro
she want me to do her raw, i just wanna rap though
i don’t really do blow, i just want the rapport
ty juu ya tenje sh*t looking like a black board
nikiwa mombasa na unahate k*mamako
bros w*ngu vatos
hoes w*ngu vako
i be, i be, i bе with the g sh*t
kuna wasee flani bila mimi watoi wao hawatadishi
so tera mos n*gga
aonge sachi ibiro tеra loss
nadai profit mi siwezi doza bila
nadai nasosi hata kushinda godzilla
yeza, big up mr. ombima, mano bossy na
b*tches all over me ka chokora na mutina
ka nyathine ohero nyasore mano copy na
i told my son, ukimada colle nakuseti loud
no hook, pure bars, ink iliisha nikichora
ka mejaa na maddie wenye hawakuneed kora
vile nikifanya kovu siku need chorus
but madem wa nyeri wananibeg pris corr us
hii di*k ina insurance
una unapigwa blue tick ukidai kujuana
by public demand naenda kuivaa
na herb ikiland naenda ku rehab
listen, the cops are corpse if they dare touch my dawgs
na ku force na force hadi tufungue hizo doors
ofcourse sikosi kikosi ya kufanya chores
na boss ni boss ka yuko frontline kwa war
wabunge waturepresent sisi
hii ni crisis adi tuna cry sisi
hamuongei mankula na polisi
oooh ni discipline, you don’t talk while eating
snitch hutolewa bass ka kindiki
na mswitch ma right left adi nichi
hamwezi nishow hatuko kilifi
hamshikishii flow buda si miti
alitoka akaniacha na house empty
she needs more wood for the fire, hatosheki
i mean, nini ina rhyme na ozempic
mmmh, these people ain’t sh*t
pia hauzeeki pia haunenepi
ngwai rolls eighty
ni kaa ni 420
usijam juu ya side chick, baby how petty
ni park and chill nikiwakatía ma gram
f*ck na me ndio utajua kazi ya bram
you are so lucky, summer ndio mali inakam
hapo d ndio tunachomea so carry hio bhang
usijam juu ya side chick, baby how petty
ni park and chill nikiwakatía ma gram
f*ck na me ndio utajua kazi ya bram
you are so lucky, summer ndio mali inakam
hapo d ndio tunachomea so carry hio bhang
[interlude]
yeah for real man you already know man
another episode of homa zetu si same mehn for real
[chorus]
yoh finya ikikubamba unaenda nayo
finya finya ikikubamba unaenda nayo
yoh finya ikikubamba unaenda nayo
huku unaeza guza guza guza guza
alafu tena finya ikikubamba unaenda nayo
finya finya ikikubamba unaenda nayo
yeah finya ikikubamba unaenda nayo
huku unaeza guza guza
Random Song Lyrics :
- ignite - as i rise lyrics
- monday blues - sunny hill lyrics
- eres luz - movida lyrics
- the way to tomorrow - tete lyrics
- no - horoshiiparen lyrics
- slippery slope - flash giordani lyrics
- swag wali topi - dhinchak pooja lyrics
- persefone - denise misseri lyrics
- we could be free* - vic mensa lyrics
- your song - beige lyrics