lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

suzzy na rosse - sele minamba lyrics

Loading...

[intro]
magic sound
naitwa selemani minamba
msindikizaji kasafiri
cha kushangaza, msafiri kabaki stendi
nataja msindikizaji katili
msafiri katili, ila kazidi wa akili

[verse 1]
muno zakilaaah!
alikuwepo binti mmoja anaitwa rose
alikuwa na shoga yake anaitwa suzi
urafiki wao ulianza kama makuuzi
ikapita pakua, ikapita mpaka miezi
ule undugu kazidi, wakajua mpaka wazazi
mpaka mtaa ikawa hapa jina suzi na rose

si unajua visista vikaanza mapozi
hata tabia zikabadilika, vikabadili na ngozi
ila kama bahati, mmoja akapata mpenzi
si unajua visista, ‘du story za madozi

basi suzi kapata bwana, rose bwana hana
najiona na kasoro, moyo unauma
ila hawakutengana, maana wanapendana
ila uchawi moyo sio chuma bali nyama
[chorus]
moyo haufanani na chuma
huwezi kuimili shida muda mrefu sana
halafu maumivu yake noma sana
maana moyo unauma hata kidonda huna

moyo haufanani na chuma
huwezi kuimili shida muda mrefu sana
halafu maumivu yake noma sana
maana moyo unauma hata kidonda huna

[bridge]
suzi na rose, suzi na rose
suzi na rose, suzi na rose
sista suzi na rose, suzi na rose
suzi na rose, suzi na rose
suzi na rose, suzi na rose

[verse 2]
huyu bwana anaitwa rashid aliyemtongoza suzi
walikutana siku ya idd
suzi naye mikazo haikuzidi
alimuona special kwa kujua atafaidi

rose chanzo upweke, akamtamani rashid
kwa kutokujua, rashid ana roho ya kigaidi
da! ushemeji ukazidi, kafikia hatua
na muomba hela ya pedi
ila sio kwamba anampiza, yupo kinyonge
anamk*mliwaza, anaona donge pekе yake
kinyonge sana

ikafika siku moja jioni
suzi alitumwa na mama yake mtoni
kamfuata rosе: “nisindikize mtoni”
rose akajibu: “viatu vyangu sivioni”

suzi akamwambia: “vifivi nitavaa vya nyumbani”
rose akamwambia: “miguu yetu haifanani
wewe unavaa size 32, mimi 40”

suzi akaona aondoke kabla kwenda mtoni
akapitia kwa mama yake
ile kufika kwa mama yake anambia
“mtoni bibi kasafiri, safari ihirike”

suzi akamwaza mpenzi wake
anajua muda huu awe si kuwa popote
hata kwa getoni kwake, akapanguza ndala mmoja mmoja amfuate

k*mbe rose naye kakama simu yake
anamtumia sms shemeji yake: “mambo shem”
rashid akajibu: “poa, nambie”
rose akamwambia: “naweza nikakuona one time”
rashid akajibu: “kwa nini kupinge shem?”
akamwuliza: “upo wapi?”
akajibu: “nipo geto”
akamwambia: “nisubiri, nakuja hapo ulipo
nakuja chapu, silembi muda niko”

basi rose akafika kabla ya suzi
alivyofika akaanza kuforce mapenzi
rashid naye alivyokuwa mshenzi
akaleta u*dwanzi, akamsahau suzi

da! k*mbe katekwa kitanzi
kasahau mlango mbovu ndani hauungi
dakika zikakaza, mara anafika suzi
kufungua mlango, mambo waziwazi

kajionea ushenzi ambao hakuutarajia
mwili umekufa ganzi
ukamfika uchungu wa mapenzi
akaza mabeseni la viombo, akavuta mjini
akamchoma rose vingi vingi
kimoja cha moyo, ikakata mpaka pumzi

[outro]
nyie mashabiki zangu, mimi na swali
nani msafiri kati ya rose na suzi?
naambie nani msafiri
ili niitoe namba mbili

producer muno, mtu mbali sana
ila beat kapiga j fant
brandy halisi, ona hii hapa nyingine tena
rufiji wani mabegani
blonde with the boy, the soni
usife moyo fanni lili, ni yule tu nasua na mwanangu crazy money
hata nao wabonyeza rel
twende nao, twende nao, twende nao
j fant

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...