
ombi langu - shomari chryzo lyrics
artist: shomari chryzo
song: ombi langu
verset 1
baba, napiga goti langu, usiwape nafasi, adui zangu wanataka nife
ona, wanavyo nizihaki, wanitakia kifo…
eh bwana w*ngu ma maneno wana nena yasini pate
mitego wanatega yasini nase
mkono unishike nisi anguke
nisikate tamaa, na wanavyo nizihaki…
eh bwana w*ngu ma maneno wana nena yasini pate
mitego wanatega yasini nase
mkono unishike nisi anguke
nisikate tamaa…
ushindi w*ngu sifa nitakupa milele
baba, napiga goti langu, usiwape nafasi, adui zangu wanataka nife
ona, wanavyo nizihaki, wanitakia kifo…
eh bwana w*ngu ma maneno wana nena yasini pate
mitego wanatega yasini nase
mkono unishike nisi anguke
nisikate tamaa, na wanavyo nizihaki…
eh bwana w*ngu ma maneno wana nena yasini pate
mitego wanatega yasini nase
mkono unishike nisi anguke
nisikate tamaa…
ushindi w*ngu sifa nitakupa milele
verset 2
daudi alisema, ajaona mwenyе haki aki achiliwa
namimi naliya njoo kw*ngu , uoneshe sina atiya
vita sio vyetu ulisеma wapigana mwenyewe
vita sio vyetu ulisema wapigana mwenyewe
refrain
nita ya inuwa macho yangu ni tazame milima
msaada w*ngu utatoka wapi mimi
msaada w*ngu utatoka kwake bwana
asiu ache mguu w*ngu bali anipiganiye vita na adui
nami nita imba sifa zake nikiwa salama
nami nita imba sifa zake nikiwa salama
verset 3
rabii naliya
natembea nao shimu wani chibiya
wataka nianguke umo sina hatiya
nakosa lakusema uku navumiliya
rabii naliya
natembea nao shimu wani chimbiya
wataka nianguke umo sina hatiya
nakosa laku sema huku navumiliya
refrain
nita ya inuwa macho yangu ni tazame milima
msaada w*ngu utatoka wapi mimi
msaada w*ngu utatoka kwake bwana
asiu ache mguu w*ngu bali anipiganiye vita na adui
nami nita imba sifa zake nikiwa salama
nami nita imba sifa zake nikiwa salama
Random Song Lyrics :
- viszkis - siebzehn lyrics
- story of a youngin pt.1 - yrntra lyrics
- better views - doctor omega lyrics
- leave it there [live] - gaither lyrics
- american ninja 2: the confrontation introspection - chris nadeau lyrics
- genesis to nemesis - allio lyrics
- here i am - death by daylight lyrics
- ratatoskur - skálmöld lyrics
- what about - louise post lyrics
- pretty when i cry - meg deangelis lyrics