
wokovu wa wanadamu - sina tatizo na mtu lyrics
wokovu wa ulimwengu (wa ulimwengu)
eh we ndugu fikiria (eh kufikiria)
gisi alivyo chukua (chukua maisha ya mwana wa mungu)
hili abari ya wokovu (ya wokovu)
iufikie ulimwengu (ulimwengu)
ziki kupa wamepata (wamepata)
watumishi wake mungu (waku mungu wetu)
hivyo baba mungu wa mbinguni ali andaa ukombozi wetu
(kwa damu yake)
kwa damu yake bwana yesu ambayo yatuweka hubu pamoja na mungu wetu
milele, milele, tukamuone
hile mimi na wewe,
tuitwe wana wa mungu (yesu kajitoa)
siku moja tuone huko (alleluia, milele)
hile mimi na wewe,
tuitwe wana wa mungu (yesu kajitoa)
siku moja kuishi raha
ndugu shika sana (ndugu shika sana)
ndugu shika sana (wokovu wako ndugu)
milizima ufahamu (milizima ufahamu)
samani yake (samani yake)
tena linda sana (tena linda sana)
tena linda sana (wokovu huo ndugu)
lazima uwe, mama (lazima uwe mshindaji)
siku moja (umuone yesu)
wokovu una shangilia kwa furaha halipo uandaa yesu
bwana, siku hiyo, alilia kwa uzuni
wokovu unauzarahulisha, mbele za watu na zele za baba mungu
k*mbuka bwana wetu yesu aliuwana kwa uchungu
(alilia kwa baba) baba yangu kikombe hiki kiniepuke
Random Song Lyrics :
- red ring of death - babytron lyrics
- delirium day - the un-zen lyrics
- segregator - filu ar lyrics
- ala beke 2 - everythingoshaun & odumodublvck lyrics
- 15 do pola 19 - petrov lyrics
- 신세계 (新世界) (a new world!) - kim marie (김마리) lyrics
- ream de harnhole - ruben slikk lyrics
- candyman freestyle - lza lyrics
- your damaging touch. - veey lyrics
- im tired prod bigwar - tarxan lyrics