
hurulaini - sir yongo lyrics
eh eh!
eh eh, eh!
baby wacha n′nene (wacha n’nene), nakupenda sana
baby wacha n′seme (wacha n’seme), nakupenda sana
naeza fanya kitu chochote, kwa ajili yako
naeza fanya
ashizo baby
malavidavi nikupee, baby
penzi la dhati
nimekuchagua, naamini unanipenda
penzi nikaamua, sitoweza kukutenda
huba ni maua, harufu tamu imetanda
vile wanitambua, nitazidi kukuganda
nakuona wewe, kama hurulaini
nimekuhifadhi, mw*ngu mtimani
nakuona wewe (eh eh!), mwenye thamani (eh eh, eh!)
baby wacha n’nene (wacha n′nene), nakupenda sana
baby wacha n′seme (wacha n’seme), nakupenda sana
naeza fanya kitu chochote, kwa ajili yako
naeza fanya
ashizo baby
malavidavi nikupee, baby
penzi la dhati
mtoto mwenye figa, ninajua ulivyoumbika
sura wanaiga, kimwana umehulukika
madaha kama twiga, nikikuona nabambika
vile wanipendaga, kwako baby nimeshika
nakuona wewe, kama hurulaini
nimekuhifadhi (nimekuhifadhi), mw*ngu mtimani (mw*ngu mtimani)
nakuona wewe (nakuona wewe), mwenye thamani (baby una thamani)
katu sitoweza (sitoweza, baby), kukutupa chini (aaah!)
ashizo baby
Random Song Lyrics :
- quiero ver a cristo - karina moreno lyrics
- 紅 / kurenai - esprit d'air lyrics
- affective - lil terrestrial & sodi lyrics
- ahora puedo verte - tu suerte lyrics
- silentium vel mortis - necrophagia lyrics
- white line (live songs for judy 1976) - neil young lyrics
- pobre diablo - karina moreno lyrics
- sənə ehtiyacım var - murad arif lyrics
- more - claire albu lyrics
- zazi - joey trap lyrics