
kidogo - sms officiel lyrics
wale marafiki walio nizarau muko wapi,,
mulikuwa na time,mulimata hela ziko wapi,,
ya mungu ni mengii,, muli cheza na muda yenu
yangu, niachiye miye,,,
mulitamba sana,,muka sahau kuwekeza
leo tuna laumiyana kwa bure tuh ,,
ungek*mbuka wekeza ata kidogo
uli vala,vala sana,,compte zika pungua,,
ulisema sema sana mukapunguza marafiki,,
oooooo sema kidogo,ooooo kula kidogo
oooooo wekeza kidogo,,,ooooh
kula kidogo weka kidogo (mutu hajuwake)
ya kesho ina mambo mengii (sana ndugu yangu)
epuka lawama lawama lawama za familia na watu
mbona hakunipa? esk iko na deni yako
sutumike sana,, upate ka hela yako
kula kidogo,ooo weka kidogo,,
ewaka baninda mbayambe
atolye alinda ba muyambe
yesonga rwanchi kola nyo,,
kubanze naye tuli ba njaulo,,
kali gwatalina olina kola nyo
kuba omulimu ye tata eraye mama,,
kula kidogo weka kidogo (mutu hajuwake)
ya kesho ina mambo mеngii (sana ndugu yangu)
epuka lawama lawama lawama za familia na watu
mbona hakunipa? esk iko na deni yako
sutumike sana,, upate ka hеla yako
kula kidogo,ooo weka kidogo,,
kula kidogo weka kidogo (mutu hajuwake)
ya kesho ina mambo mengii (sana ndugu yangu)
epuka lawama lawama lawama za familia na watu
mbona hakunipa? esk iko na deni yako
sutumike sana,, upate ka hela yako
kula kidogo,ooo weka kidogo,,
Random Song Lyrics :
- scars - beezybrian lyrics
- tengo calor - youngboy costaner lyrics
- re:date - will killen lyrics
- comuni mortali - raige lyrics
- brogélico - amériko fraga lyrics
- vagabond girl - nils bech lyrics
- i cant wait - esron y. spielberg lyrics
- badness - uniq mic lyrics
- an evolution of thought - the kindred lyrics
- plagë - tuna (albania) lyrics