
nashindwa - stara thomas lyrics
nashidwa hata kudanganya
moyoni nilivyo kupokea, eh
faraja ulivyo itimiza
hakuna atakayeweza fikia, eh
hakika umeyakamilisha
yale yote niliyo yatafuta, eh
na moyoni nimekukubalia
kwa lolote utakalojisikia, eh
k*mbuka, yale walosema
natuone sasa, kama mwisho utafika
k*mbuka yale walo sema
natuone sasa, kama mwisho utafika
ah yeah, mimi na wewe
tupendane mpaka siku ya mwisho
hadi watu washangae, maama
ah yeah, mimi na wewe
tupendane mpaka siku ya mwisho
hadi watu washangae, maama
ah yeah, mimi na wewe
tupendane mpaka siku ya mwisho
hadi watu washangae, maama
pokea, ninayo kueleza
moyoni, yote uyafikishe, eh
tabasamu, unalo nipatia
hilo ndilo, linalo nifikisha, eh
wabaya, usiwasikilize
w*n*lengo, la kutusambaratisha, eh
na mapenzi, hayana muamana
rekebisha, unapo fikiria, eh
k*mbuka, yale walo sema
natuone sasa kama mwisho utafika
k*mbuka, yale walo sema
natuone sasa kama mwisho utafika
ah yeah, mimi na wewe
tupendane mpaka siku ya mwisho
hadi watu washangae, maama
ah yeah, mimi na wewe
tupendane mpaka siku ya mwisho
hadi watu washangae, maama
ah yeah, mimi na wewe
tupendane mpaka siku ya mwisho
hadi watu washangae, maama
ah yeah, mimi na wewe
tupendane mpaka siku ya mwisho
hadi watu washangae, maama
ah yeah, mimi na wewe
tupendane mpaka siku ya mwisho
hadi watu washangae, maama
ah yeah, mimi na wewe
tupendane mpaka siku ya mwisho
hadi watu washangae, maama
Random Song Lyrics :
- dear happy - nathan maxwell lyrics
- break shit! (alternative version) - vypirr lyrics
- causes - nick mulvey lyrics
- or dunque addio! - francesco paolo tosti lyrics
- butterflies - nathan maxwell lyrics
- i love you (feat. miryo) - narsha lyrics
- untitled - jayde lyrics
- big baller b ain't gotta pay rent - big baller b lyrics
- bhang de paane - intense lyrics
- rare freestyle - sunshine christo lyrics