lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nimezama - t.i.d. "mnyama" lyrics

Loading...

[instrumentals ]

[pre*chorus: t.i.d.]
nimezama kwako (nimezama kwako)
kwa hilo umbo lako (kwa hilo umbo lako)
nataka penzi lako, oh*oh
let’s make it true, me and you
nimetua kwako (nimetua kwako)
uzuri wako (uzuri wako)
nataka niwe wako, oh*oh
girl, let’s make it true, me and you

[verse 1: t.i.d.]
tambua kwako wewe mimi sioni
wala siambiwi
jitihada zangu hazishindwi kudra
mola nakuomba
unipe nguvu, na imani
mapenzi yapo toka zamani
una thamini, mimi najali
nimejifunza mengi

[hook 1: t.i.d.]
ooh, mi mpweke
oh
ooh, niokoe
baby
ooh, mi na wewe
kitu kimoja
ooh, you’re my wifey
[chorus: t.i.d.]
nimezama kwako (nimezama kwako)
kwa hilo umbo lako (kwa hilo umbo lako)
nataka penzi lako, oh*oh
let’s make it true, me and you
nimetua kwako (nimetua kwako)
uzuri wako (uzuri wako)
nataka niwe wako, oh*oh
girl, let’s make it true, me and you

[verse 2: wyre]
5 foot 4
beauty spot pon your face
nails well done, belly chain pon your waist
only gyal around town ‘feeling intimidated
[?] africa, you’re highly rated
come with me
won’t you come take a walk with me
stay with me
whine and dance, chill the night with me
[?] paradise with me

[hook 2: t.i.d.]
ooh, mi mpweke
oh
ooh, niokoe
baby
ooh, mi na wewe
kitu kimoja
ooh, you’re my wifey
[chorus]
nimezama kwako (nimezama kwako)
kwa hilo umbo lako (kwa hilo umbo lako)
nataka penzi lako, oh*oh
let’s make it true, me and you
nimetua kwako (nimetua kwako)
uzuri wako (uzuri wako)
nataka niwe wako, oh*oh
girl, let’s make it true, me and you

[hook 3: t.i.d. & wyre]
njoo, tu [?] vile you become my wifey
me and you, pretty gyal pon di altar, one*way [?]
oh, nakusihi mpenzi uishi na mimi, yeah, yeah, oh
me and you, pretty gyal pon di altar, one*way [?]

[post*chorus]
nimezama kwako (nimezama kwako)
kwa hilo umbo lako (kwa hilo umbo lako)
nataka penzi lako, oh*oh
let’s make it true, me and you
nimetua kwako (nimetua kwako)
uzuri wako (uzuri wako)
nataka niwe wako
let’s make it true, me and you
[instrumentals outro]

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...