
yanatisha - the humbled tanzania lyrics
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ukweli bwana ni wa ajabu
matendo yake ni ya ajabu
ukweli bwana ni wa ajabu
matendo yake ni ya ajabu
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k*mtii
yanatisha yanaogopesha yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k*mtii
unapokosa nguvu ya kwendelea
umwendee yesu
ana nguvu ajabu
nguvu zake mungu
zaweza tenganisha mwili na roho
ziliumba ulimwengu
zashangaza ajabu
yanatisha, yanatisha yanatisha
yanatisha, yanatisha, yanatisha
yanatisha, yanatisha yanatisha
yanatisha yanatisha yanatisha
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ni mungu wa huruma
ni mwingi wa rehema
ni mungu wa furaha
ana nguvu ya kubariki
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k*mtii
yanatisha yanaogopesha yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k*mtii
Random Song Lyrics :
- en el muelle de san blas - agapornis lyrics
- turnup im hotel - bruno tschigita lyrics
- mãe que chora - dawtas of aya lyrics
- thunder - dan bremnes lyrics
- faisons l'amour - keen'v lyrics
- soopasoul theme - soopasoul lyrics
- 100,000 years [demo] - kiss lyrics
- verklighetsutflykt - snook lyrics
- money in my pockets - snow tha product lyrics
- finish line - quinn xcii lyrics