
penda jirani - the nine c lyrics
Loading...
acha fitina
acha kuteta jirani yako ndugu yangu
kwa sababu shida iki kupata
yeye ndiye ataku sahidiya wa kwanza
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
acha chuki acha uongo
ina leta matenganyo kati jirani
tafuta masikilizano
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
mwenye anapenda ndugu yake
ana ishi katika mw-ngaza
ooh oh
uta sema jee una penda mungu
kama una chuki kwa jirani
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
wewe ambae ume pata neema
yaku sikiya mwimbo iyi badirika
ukisha mpenda
ata kama yeye aku pendi
uta barikiwa na mungu
penda jirani jinsi unaji penda
timiza neno la bwana mina kuomba
usi chunge wakusifu kwa unacho tenda
penda kwa ukweli popote unapo enda
Random Song Lyrics :
- hermes & bags - gloosito & baby pantera lyrics
- интро для долбоёбов (intro for fuckers) - gu09e lyrics
- mine - vnknownartist lyrics
- istina - stoka lyrics
- teri mehfil mein kismat - lata mangeshkar, shamshad begum lyrics
- non dirmi non puoi - boro boro lyrics
- the flood (seeress) - the wolf garden lyrics
- fighting fires (reference) - kaycyy lyrics
- tom jedusor - di-meh lyrics
- fry - mc sargo lyrics