
niambie - tresor lyrics
[verse 1]
hapa nyumbani unajua
we njo moyo
jamaa inakupenda piya hauoni
niambie jua nini unataka wende
we dada uki enda na mbali
mi nta gonda
safari yako mbone shida we dada
niambie jua nini unataka wende
[pre*chorus]
we dada uki enda fata njia
ile uta acha watoto
we dada uki enda fata
njia ile utanivunja moyo
[chorus]
umeona machozi ginsi in a shukaa
watoto wetu wata baki na nani
we njo fuhaha yetu baki basi
tu ongeye
[verse 2]
baki tukae pamoja
mpaka mwisho
najuwa mi sikupe wakati
zongeya
nimabiie jua nini unataka wende
we mama ukibeba mapenzi
yako mbali
dunia itakuwa giza hanuone
niambie jua nini unataka wende
[pre*chorus]
we dada uki enda fata njia
ile uta acha watoto
we dada uki enda fata
njia ile utanivunja moyo
[chorus]
umeona machozi ginsi in a shukaa
watoto wetu wata baki na nani
we njo fuhaha yеtu baki basi
tu ongeye
[bridge]
we dada uki enda fata njia
ilе uta acha watoto
we dada uki enda fata
njia ile utanivunja moyo
[chorus]
umeona machozi ginsi in a shukaa
watoto wetu wata baki na nani
we njo fuhaha yetu baki basi
tu ongeye
Random Song Lyrics :
- i want you now (tri-state remix) - clan of xymox lyrics
- government - cornelius plus lyrics
- z miłości do gry - peerzet lyrics
- say no brother (crack attack don't do it) - boogie down productions lyrics
- happy camper - sam stan lyrics
- 2001 remix joy surrender (how the golden road can seize to glare) - ark lyrics
- come over - lutan fyah lyrics
- mein tag - altana lyrics
- gangsta's girl - afromental lyrics
- pickled punk - generic terror - gidget gein lyrics