
inaumiza - trillion thamani lyrics
verse 1:
k*mpenda asokupenda kujipendekeza inaumiza sana
k*mjali asokujali kujikwezakweza inachosha sana
muda mwingi umepiga simu inaita anaitazama
akipokea hataki lawama
meseji zake atatuma labda kukujibu na fupi fupi sana
huku mwenza umetuma kurasa
chorus:
tatizo umependa, umependa
kwake umebwaga moyo ooh
tatizo ulompenda ni pretender
ndomaana anaumiza moyo ooh
inaumiza, mapenzi ya upande mmoja bora nikwee mn*z*
inaumiza, kama washajilimbwasa baby niweke wazi
inaumiza, hutaki twende sawa umenizidi kasi
inaumiza, inaumiza moyo ooh
verse 2:
naomba mahakama itungiwe sheria
kuhusu kutendana kudhurumu hisia
mwanzoni mlipenda mkakubaliana
mbeleni mnazozana kwa yasiyo na maana
usisemе hamjaendana
maana mwanzo mlishibana
ungesema kisa pеsa huna
ila mbona unahudumia vema oh
chorus:
tatizo umependa, umependa
kwake umebwaga moyo ooh
tatizo ulompenda ni pretender
ndomaana anaumiza moyo ooh
inaumiza, mapenzi ya upande mmoja bora nikwee mn*z*
inaumiza, kama washajilimbwasa baby niweke wazi
inaumiza, hutaki twende sawa umenizidi kasi
inaumiza, inaumiza moyo ooh
Random Song Lyrics :
- orijinal - maho g lyrics
- the black knight - frantic amber lyrics
- difícil dizer - kap lyrics
- u don't know (slushii remix) - alison wonderland lyrics
- do it all agian - logan henderson and kendall scmidt lyrics
- break my walls - will oteri lyrics
- turn-up (remix) - richrick lyrics
- ozone - toyotomi hideyoshi lyrics
- boondocks - baby 9eno lyrics
- cheerios - laynoprod lyrics