
yammi - tunapendezana lyrics
acha nikubembeleze kwa ushahiri na utenzi
ahsante mwalimu, mwalimu wa mapenzi
sogea niku non’goneze neno zuri la mapenzi
kukuacha ni sumu labda apange mwenyezi
nyoyo zetu zime shikamana baba umeziba ufa
kasoro zetu twavumiliana tw*tenganishwa na kufa
si kati yetu dosari hakuna baby umeni chepa chepa
mimi oo oo
baby ooo ooo
tume pendezaa tuna pendezana
aaaaah!! tume pendezana
tuna pendezaa tume pendezanaa
aaaah!! tume pendezana
hata kama wakisema una machafu mengi
siyaoni nimekwama shimo la mapenzi
mi kwako nisha tulizana ku n’goka siwezi
mimi ooo ooo
ooo ooo
nyoyo zetu zime shikamana baba umeziba ufa
kasoro zetu twavumiliana tw*tenganishwa na kufa
si kati yetu dosari hakuna baby umeni chepa chepa
mimi oo oo
baby ooo ooo
tume pendezaa tuna pendezana
aaaaah!! tume pendezana
tuna pendezaa tume pendezanaa
aaaah!! tume pendezana
Random Song Lyrics :
- 끝 (apoptosis) - dynamic duo lyrics
- better different intro - sincerely collins lyrics
- modern warfare - b live lyrics
- wir bangen die szene - seyed lyrics
- pray i neva lose - alpha mason lyrics
- singin' in the rain - andrew blu lyrics
- it was you - calvin harris & firebeatz lyrics
- the miles between - ivan b lyrics
- lack of logic - unni wilhelmsen lyrics
- dead man's shoes - the virginmarys lyrics