
mama - tyoza lyrics
nikiangalia maisha yangu
uchumi w*ngu
nashindwa
huku nyumbani wadogo zangu
na ndugu zangu
wananitegemea
nikiangalia kazi yangu
mshahara w*ngu
nashindwa
nikimtazama mama yangu
mpaka machozi yananitoka
yale niliahidi toka mtoto
nitafanya kwako mama
kuna kujenga
kuna kukutunza
kuna kukulea
ninapok*mbuka
miaka ya kwako
umri un*z*di kwenda
mabaki nalia
machozi yananitoka
niombeeh niombe mama
niombeeh niombe mama
ninachokuomba mama
zidisha maombi×2
mama, eeeh mama eeh
(nakupenda mama)
mama eeeh mama eeh
(ayee umenitunza mama)
mama eeeh mama eeh
(nani kama wewe eeh)
mama eeeh mama eeh
come on mama
h*llo mama
sauti yako kichwani yajirudia
nakupenda sana
wako mwana
nak*mbuka maneno uliniambia
usimuache mungu
maana ya dunia yanachosha ni magumu
usihuk*mu walimwengu
wakikusema wewe muachie mungu tu
kuna wengine walitamani
wawe na mama duniani
ila kwa mapenzi ya manani
wapumzike kwa amani
mama
nakuombea mama
maisha marefu sana
wewe ni zawadi yangu
mungu akutunze mama
iyeeeeh
niombeeh niombe mama
niombeeh niombe mama
ninachokuomba mama
zidisha maombi×2
mama eeeh mama eeh
(nakukunda chane mama oh)
mama eeeh mama eeh
(we kipenzi cha moyo w*ngu)
mama eeeh mama eeh
(nani kama wewe mama)
mama eeeh mama eeh
Random Song Lyrics :
- compromisos no - raffaella carrà lyrics
- andy - gabriela zapata lyrics
- оу е (ou e) - yung esm lyrics
- extending common courtesy throughout the evening - ken mode lyrics
- rèm xếp lớp màu nâu sữa đẹp phù hợp với không gian nào? - rèm cửa sky lyrics
- según - go golden junk lyrics
- pig in the grave - piggy del rey lyrics
- keep believin - dotcom vibez lyrics
- sex is my substitute - highride lyrics
- diri - chucky73 lyrics