umenitengeneza - tyoza lyrics
umenitengeneza ah
umenitengenezaaa ah
niliyekuwa sifai hi
umenipa kufaa bwana
niliyekuwa siwezi
ukanipa kuweza bwana
tofauti na vile nilivyotarajia oooh oh
adui zangu walitaka kuniuwa
ila bwana ukanitetea
shimoni pia wakataka kunitupa
ili kwamba wasinione tena
wakaja na mishale ukaipangua bwana
bahari ya shamu ikagawanyika, mi nikapita ooh ooohoo
walibaki wanaulizana huyu kapita vipi hi hiii
walishangazwa na kitu kile bwana umetenda kw*ngu
ulinitengeneza ukanifuta haibu yangu uuh
umenitengeneza ooh tengeneza bwana
umenitengeneza ukanifuta machozi yangu
baba yangu umenitengeneza aaaaaah
umenitengеneza yesu w*ngu uuuh
umenitеngeneza yesu w*ngu uuuh
umenitengeneza yesu w*ngu uuuh
umenitengeneza yesu w*ngu uuuh
kuna wakati nilitaka kujiuwa
baba we ulijuwa
kuna wakati nilikata tamaa
ukanitia moyo
kuna wakati nilidondoka aah
ukaniinuwa aaah
baba umenibadilisha aah
yahwe umenitengenezaaa aah
ni kama majira yanavyobadilika
mchana na usiku kuwa bwana
ndivyo ulivyonijuwa
ukaona nafaa
niwe wako oooh
na tena yafaa
nikutumikie wewe
ukanibadilisha aah
leo nafaa aah
umenitengenezaaa ooh tengeneza bwana
umenitengenezaaa ah
umenitengenezaaa enifuta haibu yangu… umenitengenezaaa
baba yangu ……. umenitengenezaaa aha
umenitengeneza yesu w*ngu uuuh
umenitengeneza yesu w*ngu uuuh
umenitengeneza yesu w*ngu uuuh
umenitengeneza yesu w*ngu uuuh
umenitengeneza ah
umenitengenezaaa ah
umenitengenezaaa ah
umenitengenezaaa ah
Random Song Lyrics :
- vinilo - ernesto barreda lyrics
 - too soon - kyrne lyrics
 - razão pra cantar - projet'art lyrics
 - хмельное счастье (intoxicated happiness) - coldphase lyrics
 - waiting for the answer - deadsoul tribe lyrics
 - sunset by the vembanad - shashwat bulusu lyrics
 - as for me - go real slow lyrics
 - my oklahoma home (it blowed away) - pete seeger lyrics
 - la piara (los cerditos) - celeste carballo lyrics
 - vueltas da la vida - gloria estefan lyrics