
bado - vanessa mdee lyrics
[verse 1 : vanessa mdee]
kipendacho roho hula nyama mbichi baby
n0body knows that you’re down for me baby
baby niruhusu nideke nisichekwe
iwe kwa ngumi mateke ruwe sote
kila mara akili yangu wewe tu
umenifanya nimezama mwenzio
kila mara akili yangu wewe tuvanessa mdee
umenifanya nimezama mwenzio
[chorus : vanessa mdee]
baby ooh you know bado
(the way that i do) bado
(the thing that you do) bado
(the way i love you) bado
ooh baby you know… bado
nakufanya nikusahau (bado)
mpaka mi nikushushe dau (bado)
na sipendagi madharau (bado)
[hook : vanessa mdee]
nusu kaputi umenipiga nusu kaputi
nusu kaputi umenipiga nusu kaputi
[verse 2 : rayvanny]
vannyboy
alambaaa, alamba
tamu tamu katoa maganda
mwakibanda misamba mwakalete kavunja kitanda
eeh kanitekenya, kanitekenya eeeh yeah
kanitekenya
eeh minapеkenya pekenya pеkenya, eeh yeah
pekenya
kuchukurukutu aah yeah
kugandu kirubutu aah yeah
njoo nikupe burungutu aah yeah
mimi kwako zumbukuku aah yeah
[bridge : rayvanny]
eeeh…
kila mara akili yangu wewe tu
umenifanya nimezama mwenzio
kila mara akili yangu wewe tu
umenifanya nimezama mwenzio
[chorus : vanessa mdee]
baby ooh you know bado
(the way that i do) bado
(the thing that you do) bado
(the way i love you) bado
ooh baby you know… bado
nakufanya nikusahau (bado)
mpaka mi nikushushe dau (bado)
na sipendagi madharau (bado)
[hook : vanessa mdee]
nusu kaputi umenipiga nusu kaputi
nusu kaputi umenipiga nusu kaputi
[chorus : vanessa mdee]
baby ooh you know bado
(the way that i do) bado
(the thing that you do) bado
(the way i love you) bado
ooh baby you know… bado
nakufanya nikusahau (bado)
mpaka mi nikushushe dau (bado)
na sipendagi madharau (bado)
Random Song Lyrics :
- the key - sniff 'n' the tears lyrics
- crown me now - jae the lyoness lyrics
- like slick rick i like to tell a story - mario william vitale lyrics
- stripper christmas summer weekend - gwar lyrics
- pray - paasky lyrics
- karma - jae the lyoness lyrics
- recuérdame - david tapia lyrics
- en mer - elinass lyrics
- man tony - hugo renato lyrics
- how it be - lil hbn lyrics