mapenzi - volvoh lyrics
juzi wengine wameuana
wengine nao visu wamedungana
mwenyezi mungu baba
yeye pekee ndo
mwenye mahaba
kwanza, sifa zote nakupa baba
maana, ulivyo viumba vyanibamba
tena aah, nisipo shukuru ntakufuru
eeenhwaa, milima mabonde kazi nzuri
na. nikicheki ndege wa angani
samaki baharini ae. aea!
na wanyama wote mbugani
tabasamu lanijaza mie. aea!
nikicheki ndege wa angani iii
smaki baharini ae
na wanyama wote mbugani
tabasamu lanijaza mie
ukaumba mapenzi, mwenyezi
mapenzi yanakosesha raha
ugomvi nyumbani hakuna amani
mahaba yanatesa wengi more
ukaumba mapenzi, mwenyezi
mapenzi yanakosesha raha
ugomvi nyumbani hakuna amani
mahaba yanatesa wengi u oooh
chorus
ooh mapenzi, mapenzi unatesa kwanini
nalia mapenzi hakuna unae saza hata bibi
ooh mapenzi, mapenzi unatesa kwanini
nalia mapenzi hakuna unae saza hata bibi
kama juzi nlipitaga nkaskia wegine wanagombana
eti kisa amemshikaga na mwengine
mate wamepigana
juzi wengine wameuana
wengine nao visu wamedungana
mwenyezi mungu baba
yeye pekee ndo
mwenye mahaba
ukaumba mapenzi, mwenyezi
mapenzi yanakosesha raha
ugomvi nyumbani hakuna amani
mahaba yanatesa wengi more
ukaumba mapenzi, mwenyezi
mapenzi yanakosesha raha
ugomvi nyumbani hakuna amani
mahaba yanatesa wengi more oooh
chorus
ooh mapenzi, mapenzi unatesa kwanini
nalia mapenzi hakuna unae saza hata bibi
ooh mapenzi, mapenzi unatesa kwanini
nalia mapenzi hakuna unae saza hata bibi
chorus
ooh mapenzi, mapenzi unatesa kwanini
nalia mapenzi hakuna unae saza hata bibi
ooh mapenzi, mapenzi unatesa kwanini
nalia mapenzi hakuna unae saza hata bibi
Random Song Lyrics :
- drumdown mambo (hekler remix) - whethan lyrics
- 電話線 (denwa-sen) - 矢野顕子 (akiko yano) lyrics
- the end - channeled lyrics
- schüttel dein haupt - vogelfrey lyrics
- shattered - midgemedia lyrics
- meine welt - kerosin95 lyrics
- kap kap - frosti lyrics
- pakt - szpiegowsky lyrics
- tears of love - priya asthana lyrics
- berceau de cendre - herzel lyrics