salama - volvoh lyrics
volvoh for jc…..
kreptonate production…
niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee
hata nikikosa dira unanionyesha eeenh
kwako nitakimbilia ntajificha eeenh
hata nikikosa dira unanionyesha eeenh
kwako nitakimbilia ntajificha eeenh
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshe
iwe shubiri asali, kwako tu ninsherehe
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshee
umenishow ni si worry mana siko pekee
niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee
wengine wakichiti
kwako niko fiti
nikusifu na mziki, nisijali za makiki
hata mziki uje uhiti
na kibiri kisizidi
nik*mbushe zangu dhiki
kwako nisipotee
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshe
iwe shubiri asali kwako tu ninsherehe
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshee
umenishow ni si worry mana siko pekee
niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee
Random Song Lyrics :
- the beginning - delta spirit lyrics
- left-right - minideleron15 lyrics
- adiós - pablo fiore, gianbeats, cecilia gonzales lyrics
- i hate hate - demo - souptheman lyrics
- 红红的蝴蝶结 (red bow) - cao lu lyrics
- biggest opp - 2rawwww_asa lyrics
- eoisch - snelle kikker lyrics
- susie q - dobby & jackie brown jr lyrics
- long train runnin' (live) - the station breaks lyrics
- coming from truth - jimmy norman lyrics