
yesu ana - wahu lyrics
yesu aki come mi na dunda
mziki wa yesu mi na tunga
iwe praise ama worship ama rumba
tunga, tunga
shetani akicome ni na dunga
na mkuki wa yesu mi na dunga
nimuone aki go low…
aaa aaa go low
yesu ana gonga
yesu anagonga
mfungulie mlango ana gonga
yesu ana gonga
yesu ana bonga
yesu anabonga
fungua moyo wako ana bonga
yesu ana bonga
zaliwa, zaliwa
ndani ya yesu nimezaliwa
kuwa hapa leo ni majaliwa
majaliwa
nitalia, nitalia
ukiniacha yesu mi nitalia
ukiniacha yesu mi nitaliza
oooh nitalia
sitaki kuwa solo shetani ana bore
si ni yesu na follow
na shetani ana go low(low low low)
na shetani ana go low(low low low)
yesu ana gonga
yesu anagonga
mfungulie mlango ana gonga
yesu ana gonga
yesu ana bonga
yesu anabonga
fungua moyo wako ana bonga
yesu ana bonga
Random Song Lyrics :
- lucky's interlude - priddy ugly lyrics
- cant cuff no thot - lxkxs, the almighty lyrics
- late night obama food - electric six lyrics
- mimix - ahvendetta ft virus,shawrri lyrics
- gider ik' - yung asti & lil mazda lyrics
- changes (demo 1981) - trevor rabin lyrics
- coming out of the dark - jon secada lyrics
- introduction - redrama lyrics
- demoniska audru naktis - dissimulation lyrics
- just the same - control lyrics