lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

gere - whozu lyrics

Loading...

[intro : alikiba]
aah*aah
yeah! (aah*aah)
s2kizzy baby

[verse 1 : whozu]
eh, boya mie, mie
mjinga wa mapenzi haswa, eh
ah, fala mie, oh, mie
na kwake nimeshanasa, eh*eh

[pre*chorus : whozu]
supu haipandi mama
nikikuudhi naomba samahani mama, haya we
figo zitafeli mama
pombe siziwezi utanikuta mochwari mama
wa kw*ngu ni mtamu (mtam, mtam, mtam)
mambo bam*bam (bam, bam, bam)
twapeana zam*zam (zam, zam, zam)
huniishi ham (ham, ham, ham)

[chorus : whozu]
wanaona gere (mbona w*n*leta jealous)
w*n*leta wivu (mbona w*n*leta jealous)
na wivu utawauwa (ona w*n*leta jealous)
w*n*leta wivu (mbona w*n*leta jealous)
ah, wivu utawauwa
[verse 2 : alikiba]
wanavyosema ridhiki mafungu saba
aah, atuzidishie maulana
mi nasema, tuyazidishe mahaba
ooh, oh, kukuacha mwiko laana
wewe
we familia yangu wewe, ah
we mwanangu mwenyewe, ah*ah
mi siwezi ishi bila wеwe, ah
we mwanangu mwenyеwe, ah*ah
kitu nachoogopa kuwa mbali
nitawezaje hii hali, hii hali kiba

[pre*chorus : alikiba & whozu]
supu haipandi mama
nikikuudhi naomba samahani mama, haya we
figo zitafeli mama
pombe siziwezi utanikuta mochwari mama
wa kw*ngu ni mtam (mtam, mtam, mtam)
mambo bam*bam (bam, bam, bam)
twapeana zam*zam (zam, zam, zam)
huniishi ham (ham, ham, ham)

[chorus : alikiba & whozu]
wanaona gere (mbona w*n*leta jealous)
w*n*leta jealous (mbona w*n*leta jealous)
na wivu utawauwa (ona w*n*leta jealous)
w*n*leta wivu (ona w*n*leta jealous)
wanaona gere
[outro : whozu]
aah*aah*aah, aah*aah*aah
kung fu on the mix

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...