
chocolate - willy paul lyrics
basi kama we kitanda
mi ndio kwichi kwichi
aah tamu halua jigi jigi
basi ting badi malo niku gidi gidi
basi kama we kitanda
mi ndio kwichi kwichi
aah tamu halua jigi jigi
basi ting badi malo niku gidi gidi
wanasema kibaya chajitembeza
wanasema kizuri chajiuza
umeniwacha mdomo wazi
namwaga mate
na ukamtoa nyoka pangoni
eeh eeiih usije nizingua
(ooh unanipa furaha isio la kifani oh
ooh unanipa furaha isio la kifani oh)
mashallah
mpenzi wewe ni chocolate
ooh baby chocolate
wewe ni chocolate
oh mamy chocolate
mpenzi wewe ni chocolate
ooh baby chocolate
wewe ni chocolate
oh mamy chocolate
baby hata kwenye okada mi nitakubeba
na wenye roho mbaya wataona mbaya, wataona fire
jameni mapenzi kivuruge, inavuruga
kimenikata maini,mwenzenyu hata si amini
mapenzi ina changanya
mpaka matonya anaimba violeti
inachanganya mpaka mwеnzenyu naimba chocolati
changanya mpaka na chibu anaimba jeje jeeeh
na kiba ajе, nifanye aje
(ooh unanipa furaha isio la kifani oh)
mashallah
mpenzi wewe ni chocolate
ooh baby chocolate
wewe ni chocolate
oh mamy chocolate
mpenzi wewe ni chocolate
ooh baby chocolate
wewe ni chocolate
oh mamy chocolate
(ooh unanipa furaha isio la kifani oh)
mashallah
(ooh baby tamu chocolate )
Random Song Lyrics :
- perfect chaos - louverture lyrics
- reason to stay - blood youth lyrics
- causa effetto - plan de fuga lyrics
- let it go - bleeding knees club lyrics
- el camino del ermitaño - reno871 lyrics
- kushpaffer - plusmacher lyrics
- occhi su di te - jamil feat. gemitaiz lyrics
- tháng tư là lời nói dối của em - ha anh tuan lyrics
- until the end of time - beyoncé lyrics
- allora si - pino daniele lyrics