
kamati ya roho chafu - willy paul lyrics
kamati ya roho chafu
wasonge kando wafanye kudance (pozee)
ingia kwenye sakafu
tafuta wako leo ni kudance
be be bend umugongo
be be bend umugongo
be be bend umugongo
be be bend umugongo
baby dance ukipinda mgongo
dance kama chiba katupa magongo
eeey dance kwenye beat ya kimambo
dance mami yaani kama unacheza kigoco
mi nko vibaya baby
kama gari imezima imeshusha gauge
yaani na retire baby
kwako tu ni moshi nishazima fegi
baby dance hallelujah
njoo katikati dance kakololo
hii niokote ka maua
leo w*lly paul sauti sol wanatesa
kamati ya roho chafu
wasonge kando wafanye kudance
ingia kwenye sakafu
tafuta wako leo ni kudance
be be bend umugongo
be be bend umugongo
be be bend umugongo
be be bend umugongo
pinduka leo kunalipuka
watu juu ya furniture
i can see you looking at me
indica pia kuna sativa
sura ya malaika
woun’t you back it up on me
mali safi iende chain
anything she want’s tonight for me
call me daddy say my name
na ukinipa leo nitazamisha
kama tsunami tumekuja
wengine kasi ni army
been a good boy kutoka zamani
sol generation we ran the city
yeah..
kamati ya roho chafu
wasonge kando wafanye kudance
ingia kwenye sakafu
tafuta wako leo ni kudance
be be bend umugongo
be be bend umugongo
be be bend umugongo
be be bend umugongo
kamati ya roho chafu
wasonge kando wafanye kudance
ingia kwenye sakafu
tafuta wako leo ni kudance
be be bend umugongo
be be bend umugongo
be be bend umugongo
be be bend umugongo
(teddy b)
Random Song Lyrics :
- pain - lil fog lyrics
- alice - goodbooks lyrics
- race - barry taurus lyrics
- blue/ like the ocean or his eyes - lindsey nolan lyrics
- jeorge broke my heart at atl ,la - jkmogli44 lyrics
- choir of angels song - deer tick lyrics
- la fin du monde - nicole martin lyrics
- calendar - emily barker and the red clay halo lyrics
- ratas y ratones - boza lyrics
- vs. shiiiwa [vbt 2018 - hr 16tel-finale] - wandelbarz lyrics