
mamangu - willy paul lyrics
Loading...
wewe ndiwe mama tena best friend nakupenda ma.ati wewe ndiwe mama tena best friend.
kama vile dady aliniwachamamy usiniwache w-lly×2.
nyumbani kw-ngu ni kwako mama×6
kama vile dady aliniwacha mamy usiniwache w-lly×2
ubonge na mungu akuruhusu ubaki nami mama kama ukishindwa tuma malaika tubonge naye jalali×2uliniaidi ukingojeka utapona.uliniaidi ukiondoka mama utarudi.uliniaidi utakuwa nami mpaka mwisho.
nyumbani kw-ngu ni kwako mama×6
shida kwa wingi umepitia mama w-nge.
tatizo ni mingi umepitia mama w-nge
lakini umeyashinda umeyashinda we mama w-nge×2
wewe ndo w-ngu mama w-nge
mimi ndo wako mwana wako
nyumbani kw-ngu ni kwako mama×6
Random Song Lyrics :
- number one lover (moss girl remix) - shitzulover07 lyrics
- skin - cradle p. lavender lyrics
- untold loneless - eddiezz lyrics
- basics in behavior but fpe discontinued. - lotusghoul lyrics
- ke ki mininu na tchora - josé carlos schwarz lyrics
- c4 - halfmari lyrics
- banditi - erode lyrics
- the world - $vn lyrics
- dat cut - yxng kelo! lyrics
- french riviera - phia lyrics