wanga - xolly lyrics
xolly * w*nga lyrics
intro :
yeah….
x.o.l.l.y (bwanaharusiiii…yeeeeh)
chorus :
w*nga ni wengi wana chuki zao hawatupendi.. (hawatupeeee..)
kuona tuna*spend kuanzia jumatatu hadi wikiendi..( mpaka wikieee..)
w*nga ni wengi wana chuki zao hawatupendi.. (hawatupeeee..)
kuona tuna*spend kuanzia jumatatu hadi wikiendi..( hadi wikieee..)
verse 1 :
wana ni wengi wanaotaka k*miliki ma*range
kula vizuri kupendeza sio kama hawapendi
sema ndo vile mungu hajabonyeza chake tu kizenji
safari yetu kwa miguu hatujui stendi
bridge :
baba god bless my win
nilipofika mimi siamini
niliotoka nao chimbo wame*separate to find something
wapo hawakutuamini
ila tukajiamini
sasa umetuweka juu, tupo tunawaona wanavyotuthamini
hofu na woga kuwa wanyonge, tuliachaga zamani (toka zamani)
tulikotoka hakuna lofa, wana akili kichwani (wanazo kichwani, ila w*nga…)
chorus :
w*nga ni wengi wana chuki zao hawatupendi.. (hawatupeeee..)
kuona tuna*spend kuanzia jumatatu hadi wikiendi..( mpaka wikieee..)
w*nga ni wengi wana chuki zao hawatupendi.. (hawatupeeee..)
kuona tuna*spend kuanzia jumatatu hadi wikiendi..( hadi wikieee..)
verse 2 :
unajua wanangu walipo…sa hivi wana pop ma champaign tu, ma hennessy cuz
vumbi disco
nilikotoka mimi sio simple
nilichokalilishwa ni mshiko
halafu kwenye hustle ni ushindi au kifo
bora nipoteze muda w*ngu for the money
story nikipiga na washkaji ni for the money
du ukini date date me for the money
one call away but talk about money
gucci, prada, lou v sijui ma convoo
mi ni mtu kazi huwezi nikuta na watoto show show
stupid, stupid kwa wenye ma*batery low low
stupid, stupid toa akili zako za 4.4
bridge :
baba god bless my win
nilipofika mimi siamini
niliotoka nao chimbo wame*separate to find something
wapo hawakutuamini
ila tukajiamini
sasa umetuweka juu, tupo tunawaona wanavyotuthamini
hofu na woga kuwa wanyonge, tuliachaga zamani (toka zamani)
tulikotoka hakuna lofa, wana akili kichwani (wanazo kichwani, ooh kichwani ila w*nga…)
chorus :
w*nga ni wengi wana chuki zao hawatupendi.. (hawatupeeee..)
kuona tuna*spend kuanzia jumatatu hadi wikiendi..( mpaka wikieee..)
w*nga ni wengi wana chuki zao hawatupendi.. (hawatupeeee..)
kuona tuna*spend kuanzia jumatatu hadi wikiendi..( mpaka wikieee..)
Random Song Lyrics :
- tajná láska - kristína lyrics
- knowledge of self - afta hill lyrics
- after you the silence - selofan lyrics
- tårnpetter - johan berggren lyrics
- the drifting isle - dagon lyrics
- rest in paradise. - smoke bomb lyrics
- journey to wherever we may go - grand commander lyrics
- seperate - coldcasket lyrics
- a posto domattina - max pezzali lyrics
- tenkovi i zolje - vrh & oreb lyrics