
doze doze - yammi lyrics
[intro]
yammi yammi
[verse 1]
oooh love you babe
nioneshe mahaba unlimitedi
mwili na roho vyako babe
j*po usawa unakaba, i am ready
[pre chorus]
penzi tumelizindua kwa yasin tatu
tumejikinga na dua zidi ya macho ya watu
yeye namuaminia na simuachi katu
bure mnajisumbua, zenu papatupapatu
ahhh nipepee mwilini, joto litoke buuuu
niteke kwa maraha kama yotee tuuuu
nipepee mwilini, joto litoke buuuu
niteke kwa maraha kama yotee tuuuu
[chorus]
babe this is too much oo (doze doze)
taratibu mwaya, utaniua mwenzako (doze doze)
ahh babe this is too much oo (doze doze)
moyo w*ngu mimi, ushakua mali yako (doze doze)
[verse 2]
daddy wewe ndo unanipatia
daddy umefaulu mia ya mia
ahadii naahidi kukutumikia
ahh daddy, kuupenda kw*ngu ni sharia
aaah naapa kwa mbalamwezi na nyota za usiku
atubariki mwenyezi, penzi liwe nadhifu
[pre chorus]
penzi tumelizindua kwa yasin tatu
tumejikinga na dua zidi ya macho ya watu
yeye namuaminia na simuachi katu
bure mnajisumbua, zenu papatupapatu
ahhh nipepee mwilini, joto litoke bu
niteke kwa maraha kama yotee tu
nipepee mwilini, joto litoke bu
niteke kwa maraha kama yotee tu
[chorus]
babe this is too much oo (doze doze)
taratibu mwaya, utaniua mwenzako (doze doze)
ahh babe this is too much oo (doze doze)
moyo w*ngu mimi, ushakua mali yako (doze doze)
Random Song Lyrics :
- mummified in webs - mouth of sauron lyrics
- jij weet waarom - bizzey lyrics
- tesoura sem ponta - rodrigo zin lyrics
- règlement freestyle #13 - tengo john lyrics
- juré craché - fanny bloom lyrics
- baby - 0zz lyrics
- hoja en blanco (remix) - ali urban lyrics
- tôi biết em không biết - trịnh trung kiên lyrics
- sixteen (japanese ver.) - kim samuel (사무엘) lyrics
- back to the roots - slaves (us) lyrics