
kukupenda - yammi lyrics
[intro]
mmmh mmmh mmhh
haah haah haaah
haaah mafeeling records aaaah
[verse 1]
mi nimfugaji wa kuku wa penzi baby naomba kukugea
naomba pokea naomba pokea
honey ni kuku gani unataka nikupe kukupenda amaa
kuku jali kuku heshimu kuku zalia
njoo nikuonyeshe kuku kea kukulea
kukuelewa kama mtoto kuku elewa kwa mengi hata usio yanena
[bridge]
mana aaah
kimwili naishi ila we ndo roho yangu
ukiondoka upande w*ngu nimeishaa
hivi bado ujahisi uwaga napoteza utimamu
usipo pokea simu yangu nafoka aah
[chorus]
kama kama simenti
ntagandana na wewe ntagandana nawewe
ni kama kama siafu
ntafatana na wewe safari ya milele
nakupenda wee
[verse 2]
ukiniita sita tembea kuja nitakimbiaa
ukinilaza kwa kifua chako ntasinzia
najua hupendi kuku poa
mi pia sitaki kukuboa
na siwezi kukuondoa moyoni
ntajitia doa
[bridge]
mana aaah
kimwili naishi ila we ndo roho yangu
ukiondoka upande w*ngu nimeishaa
hivi bado ujahisi uwaga napoteza utimamu
usipo pokеa simu yangu nafoka aah
[chorus]
kama kama simenti
ntagandana na wewe ntagandana nawеwe
ni kama kama siafu
ntafatana na wewe safari ya milele
nakupenda wee
[outro]
mafeelling records
ni kama kama siafu
ntafata na wewe safari ya milele
nakupenda wee
ka mix laizer
Random Song Lyrics :
- nena laulaa ilmapalloistaan - vesterinen yhtyeineen lyrics
- fiesta - el micha lyrics
- 恋になりたい aquarium - 渡辺曜 (you watanabe) lyrics
- reason [single mix] - erasure lyrics
- drugs - jamal j. lyrics
- enrola o packea - kevtopo lyrics
- california - jp burr lyrics
- if this go - flax soldiermac lyrics
- all for you - 倖田來未 (kumi koda) lyrics
- roda - genecist lyrics