
namchukia - yammi lyrics
uzuri si hadidhiwi nayaona
haya aapa nayaona
mabaya yako kwa macho yangu nayona
sio kwamba napenda kuwa kin’gan’ganizi tatizo mazoea
nime kuzoea sidhani kama ntapona
napiga simu namba inatumika kila dakika
k*mbe ameni block ame ni blacklist amenichoka
roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka
mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake
wallahy namchukia k*mfahamu najutia
wallahy namchukia k*mfahamu najutia
unayo fanya siunaona uko sawa basi kazana
si unapenda hivi navyo lia na ku n’gan’gana
haujuwi ustaarabu unacho juwa ni kufoka na kutukana
nahivi nilivyo bubu mama kanifunza nidhamu ni kukaa kimya
sio kwamba napenda kuwa kin’gan’ganizi tatizo mazoea
nime kuzoea sidhani kama ntapona
napiga simu namba inatumika kila dakika
k*mbe ameni block ame ni blacklist amenichoka
roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka
mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake
wallahy namchukia k*mfahamu najutia
wallahy namchukia k*mfahamu najutia
Random Song Lyrics :
- дороги (roads) - мельница (melnitsa) lyrics
- balance - serena deena lyrics
- невыносимая жестокость (insupportable violence) - mcwertx lyrics
- lavapies - afrojuice 195 & limabeatz lyrics
- overreacting - pretty loud lyrics
- i can't say why - bslick lyrics
- szimpla freestyle (what are we doing? album vol1) - spetyusz lyrics
- labios carnositos - j dani lyrics
- tipping it up to nancy - ciarán cooney lyrics
- flute - chaser lyrics