
pole - yammi lyrics
[intro]
yammi yammi
[verse 1]
mwanakwenda uende, sik*mbuki kilichofanya nkupende
nanukuuu ndo uliyasema hayooo
na shamba liikosa jembe
kilima cha kushuka nikipande
nikanyosha mikono juu, nikaoiga konde moyo ahh
[pre chorus]
hadi najionea maajabu, mpaka nashangaa
kipi ulichosahau kw*ngu ama ulipo hakuna fuhara
we si ulifuta namba zangu, ukaniacha mataa
mixer kuniimbia taarabu, umeshajikataa
[chorus]
nananinananaaaw
umeshachelewa pole
umeshachelewa pole
umeshachelewa pole
umeshachelewa pole
[verse 2]
mhh saivi napewa full dozi ya k*mimina
ahh kuna muda sina usingizi, nalazwa mzima
penzi nimelipitia kozi, sio made in china
sio wewe mwana kikohozi kubanja kujinyima
[pre chorus]
hadi najionea maajabu, mpaka nashangaa
kipi ulichosahau kw*ngu ama ulipo hakuna fuhara
we si ulifuta namba zangu, ukaniacha mataa
mixer kuniimbia taarabu, umeshajikataa
[chorus]
nananinananaaaw
umeshachelewa pole
umeshachelewa pole
umeshachelewa pole
umeshachelewa pole
Random Song Lyrics :
- shawty - lil tooth lyrics
- s.q.c.s. - ketama126 lyrics
- it's solitude - geography mend$ lyrics
- full clips - joey vantes lyrics
- cyber demystification - paranoid fantasy lyrics
- it’s ok freestyle - jj the demon lyrics
- why did i say okie doki? - the stupendium lyrics
- iv(iv) - nukan shaqir lyrics
- mystic temples of hydhradh - æthĕrĭa conscĭentĭa lyrics
- you up? - waitingforpairing lyrics