
ramadan - yammi lyrics
[intro]
aaaah
mmmmmh
aaaah
mmmmmh
[chorus]
ramadhan ramadhan
tufungeni ramadhani
ramadhan ramadhan
tiba njema ramadhani
ramadhan ramadhan
tufungeni ramadhani
ramadhan ramadhan
tiba njema ramadhani
[verse 1]
ramadhani mwezi mema
nguzo ya nne ya dini
walifunga waja wema
walopita duniani
ramadhani mwezi mema
nguzo ya nne ya dini
walifunga waja wema
walopita duniani
eeeeeh ramadhani
ramadhani ni faradhi
imefaradhishwa toka zamani
wafunge wenye kukidhi
vigezo vyote vya dini
[bridge]
ramadhani ni faradhi
imefaradhishwa toka zamani
wafunge wenye kukidhi
vigezo vyote vya dini
ramadhani ni faradhi
imefaradhishwa toka zamani
wafunge wenye kukidhi
vigezo vyote vya dini
[chorus]
ramadhan ramadhan
tufungeni ramadhani
ramadhan ramadhan
tiba njema ramadhani
ramadhan ramadhan
tufungeni ramadhani
ramadhan ramadhan
tiba njema ramadhani
aaaah
mmmmmh
aaaah
mmmmmh
[verse 2]
mayatima na wajane tuwak*mbukeni
mikono tushikamane
tusaidieni
mayatima na wajane tuwak*mbukeni
mikono tushikamane
tusaidieni
salamu za heri ulimwenguni n*z*toa
tuamuabu jalali ridhiki atatupatia
salamu za heri ulimwenguni n*z*toa
tuamuabudu jalali ridhiki atatupatia
[bridge]
ramadhani ni faradhi
imefaradhishwa toka zamani
wafunge wenye kukidhi
vigezo vyote vya dini
ramadhani ni faradhi
imefaradhishwa toka zamani
wafunge wenye kukidhi
vigezo vyote vya dini
[chorus]
ramadhan ramadhan
tufungeni ramadhani
ramadhan ramadhan
tiba njema ramadhani
ramadhan ramadhan
tufungeni ramadhani
ramadhan ramadhan
tiba njema ramadhani
Random Song Lyrics :
- omerta music - gamemast15r lyrics
- the 3 disss - mauriciyo lyrics
- anti-herói - sagaz & ecologyk lyrics
- edge of the razor - stephanie mills lyrics
- nice guy - the watanabes lyrics
- duże sumy - jeden lyrics
- wkcr 89.9 stretch & bobbito promo (1st appearance on wkcr) - necro lyrics
- move - weezgawd lyrics
- baymayan bayan - grogi lyrics
- shit will never end - casper (rap) lyrics