
sijafunzwa - yammi lyrics
[verse 1 : yammi]
unaweza ukaniona nacheka
ila moyo w*ngu umeficha mengi
maisha yamejawa na heka heka
kila hatua moja ni kigingi
kuna vitu vingine vinaumiza
kula yangu ni ya kudunduliza
kuna muda nahisi kukata tamaa
ila nak*mbuka mama ananitazamaaa
[verse 2 : yammi]
zagala zagala, langu buku linatosha
pilau la masimango, sio siri linachosha
zagala zagala, langu buku linatosha
pilau la masimango, sio siri linachosha
[chorus : yammi]
kukata tamaa sijafunzwa
nami namuomba muumba
kukata tamaa sijafunzwa
nami namuomba muumba
[verse 3 : mdogo sajent]
ona maisha, maisha magumu
nikik*mbuka mbali nilipotoka
mengi nyumbani, nyumbani majuk*mu
ndo yalofanya shule nikaiacha
namshukuru sana mungu
aaah aaaah, w*ngu mungu
j*po mtaani kuna majungu
aaah aaaah, mengi majungu
wabaya walimwengu
wenye chuki na mie
ambao hawataki niendelee
langu zuri kwenu baya waja nyie
na sijui kwanini hawataki niendelee
[chorus : yammi]
kukata tamaa sijafunzwa
nami namuomba muumba
kukata tamaa sijafunzwa
nami namuomba muumba
Random Song Lyrics :
- you are not alone - jennifer jolley lyrics
- kentucky blues - jonathan hutcherson lyrics
- only one - kendy lyrics
- mustang keyz - hefna380 lyrics
- tiempos de cambiar - guasones lyrics
- kings - adam jensen lyrics
- this has gotta stop - eric clapton lyrics
- tundra - kaz bałagane lyrics
- new love - rjldiablo lyrics
- aquellos olhos verdes - trio irakitan lyrics