
k.k.k.d (freestyle) - young chii lyrics
(intro)
yeah,its young chii roccana..
papa!!
(verse)
aah,hii haina one,two..
nikikupa hela sikai juu..
rap scoobydoo..
hapo chorus no erykah badu..
jichanganye njoo usawa huu..
tia guu..
ufundishwe namna ya kuwa mpole mehn kuwa cool..
can i have little mercy kwa hawa rappers..
malalamiko yamekuwa mengi wanatapa tapa..
mini nataka..
waniite dingi ama waniite kaka..
nasikia siko sawa,nakuwaga tu nikitaka..
blow some candles for mangwear..
bendera ipo juu east zoo is on air..
sijawahi lala njaa tangu nizijue pair..
mnawapa bichwa hawa marapa en i never cared..
feeling like,am on ma ligue of ma own..
huku magwiji tu,hao wakali wako hatuwaoni..
hizi swagger ziko on..
jichanganye timba on my zone..
i’ll be like okay! okay! okay
this sh*t is gone..
skiiza..
punchlines ndo slogan..
utayanywa soon we mzee koroga..
zimepita kama upepo yan fyuu! zimedoda..
na kama ukilifeel hili lipe mojaa..
kibabu kichawi kwenyе dundo..
no matter what,cha msingi pesa kwa kibindo..
haha,tuko peacе no beef bro..
njaa huwa nashinda huwa sitoi droo
(chorus)
kibabu kichawi kwenye dundo..x 2
yeah..
its young chii roccana
kibabu kichawi kwenye dundo,yeah
Random Song Lyrics :
- king of new york - white mandingos lyrics
- a milianos - c4bal lyrics
- let's jump! (soundscvpe remix) - you (jp) lyrics
- street poetics - strajk lyrics
- hollur at your boy though - yolo cocaine gang lyrics
- x - gruby mielzky lyrics
- bilder - separate lyrics
- los cirrostratos - menuda coincidencia lyrics
- evlenmeliyiz - hadise lyrics
- mauvaise école - kool shen lyrics