
jipe nuru (feat. jtwenty) - young ferooz feat. jtwenty lyrics
mdogo w*ngu kaa chini nikwambie
yanayo semwa na majilani jichunge
mdogo w*ngu kaa chini nikwambie
yanayo semwa na majilani jichunge
jifunze ku pambana
ipo siku mola atatupa
riziki mafungu saba
huenda letu halijafika
usikufulu
kipato kidogo ndoo hali yetu
jipe nuru
hakuna mganga wariziki yako
usikufulu
kipato kidogo ndoo hali yetu
jipe nuru
hakuna mganga wariziki yako
usivunjike moyo
(moyo moyo)
usijifunze choyo
(ukipata kidogo shukuru)
usivunjike moyo
(moyo moyo)
usijifunze choyo
(kushinda kwa waganga na kupiga manyanga ni bure tu)
kaka eeh
nimekusikia na nimekuelewa
ila eeh
maisha magumu yametuzidia
nawaza eeh
ama nirudi kwa mama rinah
kwa mama eeh
kule kula ni uhakika
sio kwamba hatutafuti kusaka riziki
kwenye hii dunia
sema mungu basi hatupi nafasi
ya kufanikiwa
sio kwamba hatutafuti kusaka riziki
kwenye hii dunia
sema mungu basi hatupi nafasi
ya kufanikiwa
usikufulu
kipato kidogo ndoo hali yetu
jipe nuru
hakuna mganga wariziki yako
usikufulu
kipato kidogo ndoo hali yetu
jipe nuru
hakuna mganga wariziki yako
usivunjike moyo
(moyo moyo)
usijifunze choyo
(ukipata kidogo shukuru)
usivunjike moyo
(moyo moyo)
usijifunze choyo
(kushinda kwa waganga na kupiga manyanga ni bure tu)
dangboy
Random Song Lyrics :
- wonderwall - rivers cuomo lyrics
- view - paradigmoao lyrics
- lazy - dedamin lyrics
- ni una llàgrima - enmatu lyrics
- kilimanjaro - ywbprince lyrics
- tablero de cristal - divina tragedia lyrics
- make me change my mind - incognito lyrics
- in an enchanted world of broken heart - ардженто & symen haze lyrics
- luxury - drax project lyrics
- важное (important) - lá (nwug) lyrics