
mimi ni mzabibu (baba ni mkulima) - zablon k. ndale lyrics
Loading...
[s] mimi mzabibu wa kweli, mimi mzabibu wa kweli
nanyi m matawi yangu, baba yangu ni mkulima
mwenye kutunza shamba lake } *2
[s] tawi lile lisilozaa
baba yangu huliondoa, na kuliteketeza moto
[s] tawi lile linalozaa
baba yangu hulisafisha, lidumu katika kuzaa
hayo * hayo ni maneno ya bwana yesu }*2
nyinyi mmekwisha, kuwa wasafi
kwa sababu ya neno, nililowaambia
kaeni nami, ndani yangu
na mimi na mimi na mimi ndani yenu
akaaye ndani yangu, huyo atazaa
kwani nje yangu, hataweza kuzaa
kama vile nje ya mzabibu
tawi halitaweza kamwe kuzaa
maneno yangu yakikaa ndani mwenu
ombeni lolote mtatendewa
naye baba yangu atatukuzwa
na nyinyi mtakuwa wanafunzi w*ngu
Random Song Lyrics :
- enemy - dirty pretty things lyrics
- bleeding - soldier kidd lyrics
- frozen bones - sun diamond lyrics
- u-my answer - antny rome lyrics
- slipp mæ fri! - sara & arash lyrics
- show da world (blowin up) - werd of mouph lyrics
- let it go - bruce guthro lyrics
- mekench mouchkel - la chango family lyrics
- feeling - steezzychato lyrics
- dragon hills (saigon, vietnam) - henry saiz & band lyrics