
naiwe - zahra (tz) lyrics
[intro]
uyeee uuuh uhooo eeh!!
[verse 1]
i love u today tomorrow and everyday
unavyonipenda hukosei, mwenzako doro yani cheichei
unavyokuaga mbali mwenzako naumiaa
furaha yangu ni we!!
napenda vile unanijali
najivunia aah
furaha yangu ni we!!
[bridge]
tena hukoseii… (kunipetipeti)
hukoseii… (kunisetiseti)
eeiih… (on bed bed)
nikikwita huchelewii… (ushafika net)
huchelewii…
(huniachi back)
eeeiih…(u’re ready ready)
eiiiiih hii naiwee, naiwee kwako nimezamaaa… vyovyote vile naiwee naiwee nimefika tamaati!!
aaaaaaaaah aaaaaah aaaaha
[chorus]
iwe na iwee!…. (iweee)
iwe na iwee…..(naiwee)
iwe na iwee iwee! (iwe na iweeee)…..×2
[verse 2]
utu w-nguu, penzi langu moyo w-ngu wote nshakupaa unitunziee!!
macho yangu, sikio langu napendaga vile ukinitaa sweet we…!!
unavyokuaga mbali mwenzako naumiaa
furaha yangu ni we!!
napenda vile unanijali
najivunia aah
furaha yangu ni we!!
[bridge]
tena hukoseii… (kunipetipeti)
hukoseii… (kunisetiseti)
eeiih… (on bed bed)
nikikwita huchelewii… (ushafika net)
huchelewii…
(huniachi back)
eeeiih…(u’re ready ready)
eiiiiih hii naiwee, naiwee kwako nimezamaaa… vyovyote vile naiwee naiwee nimefika tamaati!!
aaaaaaaaaah aaaah aaaha
[chorus]
iwe na iwee!…. (iweee)
iwe na iwee…..(naiwee)
iwe na iwee iwee! (iwe na iweeee)…..×4
Random Song Lyrics :
- present time - kiwabz lyrics
- амперсанд (ampersand) - ка тет (ka tet) lyrics
- antaa palaa vaan - smak lyrics
- slow - birds at night lyrics
- free tyler - lil amiri lyrics
- carmen winstead phonk - leshen lyrics
- детали (details) - suziksss lyrics
- comfortable life - jacob hudson lyrics
- inmune - fendireplica & santino franceschi lyrics
- 지금 난 (do i do) - ovan (오반) lyrics