lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

holy gun - ziggy 6iks lyrics

Loading...

holy gun na hii ndenga iko blessed
we ni hooligan so siwezi kaa nawe
cheki take your time ukiaim never rush
nina holy gun na hii ndenga iko blessed
we ni hooligan so siwezi kaa nawe
cheki take your time ukiaim never rush
nina holy gun na hii ndenga iko blessed
we ni hooligan so siwezi kaa nawe
cheki take your time ukiaim never rush
nina holy gun na hii ndenga iko blessed
we ni hooligan so siwezi kaa nawe
cheki take your time ukiaim never rush
nina holy gun na hii ndenga iko blessed aaa
panga ni biggy so sii hubebanga mavisuree
damu ni mingi na yako ndio si tunadonate
zangu ni bomb kila phase nizidetonate
whap whap alimadwa asap
write verse fast kaa ni mradi work hard
tunaburn burn twezi choka ni talanta
ball hard tunafika adi atalanta
amenidedi me si yesu siezi mresurrect
test me test me test me never test me
kama ni kesi naeza jidefend please
kama ni kesi naeza jidefend aaa
holy gun na hii ndenga iko blessed
we ni hooligan so siwezi kaa nawe
cheki take your time ukiaim never rush
nina holy gun na hii ndenga iko blessed
we ni hooligan so siwezi kaa nawe
cheki take your time ukiaim never rush
nina holy gun na hii ndenga iko blessed
we ni hooligan so siwezi kaa nawe
cheki take your time ukiaim never rush
nina holy gun na hii ndenga iko blessed
we ni hooligan so siwezi kaa nawe
sio jina tu hadi sura zinafanya wanafear
na si ndio unusa enemy joo kama ako near
ogopa rende akuna pingu sisi atuezi crack
nipate zabe nashikisha na your baby girl
hakuna gang bang maybe bhang ya gang mahn
si aliangushwa kwa ripoti ye ni gun man
na me ndio gunman shift nakiskeng mahn
nafeel alive sana sana nikiwa juu ya beat
ombea mishoni before upige inaeza kua ni bait
niko jikoni toka morning adi early noon
ananijua nkiwa busy ndio napata mood
niliambia bro, never fear manze be a man
na ukipata the chance never hesitate,shoot
niliambia bro never walk alone,tembea naki
holy gun na hii ndenga iko blessed
we ni hooligan so siwezi kaa nawe
cheki take your time ukiaim never rush
nina holy gun na hii ndenga iko blessed
we ni hooligan so siwezi kaa nawe
cheki take your time ukiaim never rush
nina holy gun na hii ndenga iko blessed
we ni hooligan so siwezi kaa nawe
cheki take your time ukiaim never rush
nina holy gun na hii ndenga iko blessed
we ni hooligan so siwezi kaa nawe
cheki take your time ukiaim never rush
nina holy gun na hii ndenga iko blessed
mmmm mmmm mmmm

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...