
chapati - zuchu lyrics
aah*aah* ah*ah*aah*aah
aah*aah*ah*ah*aah*aah
ae*yeh, ae*yeh, ae*yeh, ae*yeh
lg, aah lg (ae*yeh, ae*yeh, ae*yeh)
aah*aah* ah*ah*aah*aah
aah*aah*ah*ah*aah*aah
mr lg
dullah, dullah, dullah (uui) anataka kula (ooi)
dullah hataki andazi anataka kula
dullah hataki viazi anataka kula
dullah, dullah, dullah anataka
basi kitendawili (tega)
kitendawili (tega)
kitendawili (tega)
kitendawili (tega)
kitu flati kitu laini katikati aliye na maini
kitu flati kitu laini katikati aliye na maini
chapati, cha*pa*ti
chapati, cha*pa*ti
chapati, cha*pa*ti
chapati, cha*pa*ti
aai chu*chu*chu
chi*chi*chi*chi
aai chu*chu*chu*cha
chi*chi*chi*chi
chapati, cha*pa*ti
chapati, cha*pa*ti
eh, kwani umeiweka nini mi naipenda?
kwani umeiweka nini mi naitaka hiyo?
kwani umeiweka nini mi naipenda?
kwani umeiweka nini mi naitaka?
inateleza, tamu inateleza
inateleza, tamu inateleza
basi kitendawili (tega)
kitendawili (tega)
kitendawili (tega)
kitendawili (tega)
kitu flati kitu laini katikati aliye na maini
kitu flati kitu laini katikati aliye na maini
chapati, cha*pa*ti
chapati, cha*pa*ti
chapati, cha*pa*ti
chapati, cha*pa*ti
aai chu*chu*chu
chi*chi*chi*chi
aai chu*chu*chu*cha
chi*chi*chi*chi
chapati, cha*pa*ti
chapati, cha*pa*ti
the mix k!ller
Random Song Lyrics :
- raid me - !akhiro & gloka blues lyrics
- nhungduongketrenbautroi - mpakk lyrics
- shir hahed - שיר ההד - gidi gov - גידי גוב lyrics
- nothing - babytooth lyrics
- surrounded - aftertheparty lyrics
- haunted house (live) - ryan adams lyrics
- chim pum callao - rich roda ft. wonder el bonitillo lyrics
- lava o xibil - clube da chupa lyrics
- top 5 - jt cinco lyrics
- my side - stigma lyrics