
mwizi - zuchu lyrics
[intro]
ayo lizer
[verse 1]
do you know ?
when you call me your queen
mwenzako, i feel so happy, happy
do you know ?
that you’re my favourite human being
unakuaga so lovely, lovely, mmh
[pre*chorus]
ah, jamani mwiei moyo kaniibia
nahisi kihirizi ah, kanichimbia
mana uchizi si uchizi nachanganyikiwa
mapenzi kikohozi, kwake nimepaliwa
[chorus]
haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya)
and i swear to god kwako hoi
nyang’anyang’a (nyang’anyang’a)
haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya)
and i swear to god kwako hoi
nyang’anyang’a (nyang’anyang’a)
[verse 2]
oh, tazama ndege angani wanaimba na kucheza
zunzunzun! wewe nama nyukilia we
niliomba dua nami nipate wa kunipendeza
mungu tu alie mwema amenipa we
(na mimi mungu wetu mwema ndo amenipa we)
omalinchanmwa, huoni ka’ tunaendana
wenyewe tumetulizana, tabia vimo twafanana (sana)
mapenzi bwana, hata tugombane mchana
usiku tumeshapatana twachеka na kutekenyana (sana)
[pre*chorus]
jamani mwizi moyo kaniibia
nahisi kihirizi, ah, kanichimbia mama
maana uchizi si uchizi nachanganyikiwa
mapenzi kikohozi, ah, nimеpaliwa
[chorus]
haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya)
and i swear to god kwako hoi
nyang’anyang’a (nyang’anyang’a)
haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya)
and i swear to god kwako hoi nyang’anyang’a (nyang’anyang’a)
Random Song Lyrics :
- anubis - lil barby lyrics
- 있기 없기 (have, don’t have!) - dal★shabet lyrics
- monsters among us - bitter branches lyrics
- лилии (lilies) - найтивыход (naitivihod) lyrics
- january august - eggperson lyrics
- ponekad pričam gluposti - suid lyrics
- fylder til hun ikke kan hælde - skide skarp lyrics
- o que é que eu faço - brilha som lyrics
- gowns of undying light - the dark alamorté lyrics
- ben erkek olsaydım - nükhet duru lyrics