
zawadi - zuchu lyrics
[verse 1: zuchu]
mon chérie ‘je t’aime beacoup
penzi lako gundi, nimenasa
mon chérie, kama uchawi upo
mganga wako fundi ‘hasa hasa
eh, mwamvuli w*ngu
moyo umeufunika
(wewe ndo)
kiboko yangu
unaejua pakunishika
[pre*chorus: zuchu]
kama mapenzi pilipili
lako laniwasha in a good way
nishakupa moyo na mwili
uwe wako ‘uchukue
[chorus: zuchu]
pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo w*ngu
(ya upendo)
w*ngu, my love
pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo w*ngu
(ya upendo)
w*ngu, my love
(instrumentals)
[verse 2: dadiposlim]
oh, uooh, oh
ma chérie, chérie
mu ungiye baridi weni komeya
mi uka makini
matso yangu ye hu ono hu fumbariya
zidisha ye zana
bawe huni lisi yilikiki kazana
(kazana)
kama mapenzi pilipili
lako laniwasha in a good way
nishakupa moyo na mwili
uwe wako ‘uchukue
[hook: zuchu & dadiposlim]
njoo tucheze kompa (kompa)
oh, baby
(mh, mmh, aah)
we laizer wewe
aah, yah, yah, yah, yah
eeh, warere (wakacha)
wakacha (warere)
mh, mh, mh, mh, mh, aah
[outro: zuchu & dadiposlim]
baby, pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo wa…
ya upendo w*ngu, my love
baby, pokea (pokea)
zawadi, (zawadi)
ya upendo w*ngu
ya upendo w*ngu, my love
oh, my love
Random Song Lyrics :
- pleśń z pipuszki - temresa gwiazdunia lyrics
- virginia key - glizzi lyrics
- intro - samarita lyrics
- холодная осень(cold autumn) - meizumi lyrics
- white page - platinum peppers family lyrics
- say that - lxbov3 lyrics
- hva heter hun?? - be'o lyrics
- flusso d'incoscienza - mezzosangue lyrics
- the dyatlov pass - spellblast lyrics
- surface - melody lz lyrics