lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu antonia (feat. harmonize) – abbah & jux

Loading...

antonia, antonia
(sound by abbah)
antonia, antonia

ningalikuwa na uwezo ningekujengea nyumba
na kukununulia gari, gari la upendo
ama nipulize kitezo, nikurogezee dumba
w*nga wakupikie mbali, unizidishie pendo

maana mapenzi kidonda
hata nikipona litabaki kovu
sitaki mawazo kukonda
kesho nikikuona nianze toa povu

maana moyo unaona vya ndani
ambavyo hata macho yahawezi kutazama
hivi ni kweli utakuwa nami
leo na kesho mtondogoo kiama?

will you be my wife? antonia
angu ni nyako nakupenda sana (antonia)
will you be my wife? antonia
will you be my wife? antonia

(eeeh will you be my wife?)

wanasemaga hasara roho pesa makaratasi
majumba na magari yao, wengine hata ni ya miradi
baby wasiwasi ndo akili sio kama natabiri
hio sio moja, sio wa pili, hivi ni kweli utasubiri?

maana mapenzi kidonda
hata nikipona litabaki kovu
sitaki mawazo kukonda
kesho nikikuona nianze toa povu

maana moyo unaona vya ndani
ambavyo hata macho yahawezi kutazama
hivi ni kweli utakuwa nami
leo na kesho mtondogoo kiama?

will you be my wife? antonia
angu ni nyako nakupenda sana (antonia)
will you be my wife? antonia
will you be my wife? antonia

abbah your sound so crazy
konde boy jeshi
yeah yeah
(sounds by abbah)

mixed by simon

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...