lirik lagu sioni thamani ya pendo – aisa utamu
ooooohhh aaaaaaaahhhhh
kila kukicha afadhali ya janaaa
nachukiaa nafsii yanguuuuu
usiku kw*ngu nauona mchanaaa
nalia na nafsi yanguuuuu
thamani ya penzi sina nipeni pole wenzanguu
nilichokipata sina zaidi ya maumivuuuu
kama mapenzi nampaaa kwa mada autakaoooooh
kama malezi sisemiii kwa jinsi nimleavyoooohh
nahisi nimependa mwezenu pale pasipo pendekaaa
nahaki ya kukonda mimi ohh mwenyewe nimeyatakaaa
nahisi nimependa mwezenu pale pasipo pendekaaa
nahaki ya kukonda mimi ohh mwenyewe nimeyatakaaa
heshima niliilinda kwa kila aliye nitakaaaaa
mwezangu nilimpenda lakini sikuthaminikaaaa
heshima niliilinda kwa kila aliye nitakaaaaa
mwezangu nilimpenda lakini sikuthaminikaaaaaaa
najiuliza ninakasoro gani jibu halipatikaniii
nisichoweza nini jamani nini uyu bwana ana niniiii
najiuliza ninakasoro gani jibu halipatikaniii
nisichoweza nini jamani nini uyu bwana ana niniiii
hawa thabiti,rathia thabiti wapi afsa thabiti
heshima ya pendo iko wapiii n*z*di mwеzenu kudhalilikaaaa
maisha nayaona mafupiii kwamitihanii inayonikutaaaa
heshima ya pendo iko wapiii asia utamu nadhalilikaaaa
maisha nayaona mafupiii kwamitihanii inayonikutaaaa
nilichokеsea kipiiiiii,mpaka natesekaaaa mieee
au niko tofautiiiii na hao anaowapata yeyee
nilichokesea kiiipiiiiii,mpaka natesekaaaa w*ngu moyoo
au niko tofautiiiii na hao anaowafata baibiii
sikulazimisha pendoo , mwenyewe alilitakaaa
nilimuoneshaa langu huba ,sasa mwenzenu najutaaaa
aaah sikulazimisha pendoo , mwenyewe alilitakaaa
nilimuoneshaa langu huba ,sasa mwenzenu najutaaaa
sema kweli nimevumilia mengi sijakutenda kosa mpenzi weee
nimevumilia mengi mpenzi w*ngu baba watoto w*nguu weeehhh
sema kweli nimevumilia mengi sijakutenda kosa mpenzi weee
nimevumilia mengi mpenzi w*ngu baba watoto w*nguu weeehhh
lakini leooo imefikaa mwisho kwa hili penziiii kawaidaa yakoo
lakini leooo imefikaa mwisho kwa hili penziiii kawaidaa yakoo
nitarudi kwa baba na mama,mawazo yangu yoote kwa watoto w*nguu eeeh
mazoea pia yanatabu yakee,nitajitahidi mpenzi nitayasahau eeeh
nitarudi nilipozaliwa familia yangu yoote itanipokeaaa eeeeh
hii ni ya wakali wao eeh,saaaleekuuu mkombozi thabiti abduli
butua utuokoe wenzio eeeh,mungu akuekeee
antii latifaaa upo kileleni mamaaa eeeh upo juu daimaaa
nishalia mimi sana mapenzi yanaumizaa,ni bora kutulizana kuliko kujiliwazaa
nishalia mimi sana mapenzi yanaumizaa,ni bora kutulizana kuliko kujiliwazaa
oooh baby oooh baby utanik*mbukaaa
oooh baby aiii baby utanik*mbukaaa
oooh baby aiii babyy utanik*mbukaaa
mwanzo wa mapenzi nilipendwa nakuthaminiiwaaa
tena nilitunzwa mwanamkee oooh
tena nilitunzwa mwanamkee mieeeeeh
kama ninavyoitajika kutunzwaaaah
nilukuwa nitake nini mimi nisipeweee
baby niliitwa mimi honey nilikuwa mimiii
k*mbe hiyo ni hulka baadhi ya wanaumee
k*mbe hiyo ni hulka baadhi ya wanaumee
pale wanapoanza kupendaa
wakipewa wakitakacho hubadilikaa ,kweli weeeeh
wakipewa wakipendacho wanakimbiiaaa
k*mbe hiyo ni hulka baadhi ya wanaumee
oooh babyy oooh baby utanik*mbukaaa
oooh baby aii baby utanik*mbukaaa
oooh baby my baby utanik*mbukaaa
chezea huba wewe mtu akikutokea utasikiaaa
oooh baby nitakujengea wakati yeye anakaa nyumba ya kupangaa
mara oooh honey unapenda gari gani nikununuliee
ukimfuatilia kutwa yeye yumo ndani ya madaladala inahusuu
eti ohh baby nipe namba yako ya siri ya bank what wizzi huoo
mmhhhhhh mmimi sitaki hiiii niya wawili wawilii eeeh
magreti komba na thabiti abdul,othumani na asia utamu
chukuaaa
cheza cheza chezaa cheza chezaaa chezaaa sakata sakata sakataa
zungusha zungusha zungusha cheza
ah rumba rumba chezaa
cheza cheza chezaa
anaitwa jumanne ulayaa
oooh babyy oooh baby utanik*mbukaaa
oooh baby aii baby utanik*mbukaaa
oooh baby my baby utanik*mbukaaa
oooh baby my baby utanik*mbukaaa
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu kunt and the gang › lirik lagu let’s send nan to dignitas – kunt and the gang
- kumpulan lirik lagu claudia de breij › lirik lagu ik onthou van jou – claudia de breij
- kumpulan lirik lagu savannah outen › lirik lagu sweater weather – savannah outen
- kumpulan lirik lagu sam khan › lirik lagu see you later – sam khan
- kumpulan lirik lagu rapping chicks › lirik lagu ultimate rap test – rapping chicks
- kumpulan lirik lagu wale › lirik lagu samples and shit – wale
- kumpulan lirik lagu axe murder boyz › lirik lagu redrum where i’m from – axe murder boyz
- kumpulan lirik lagu lil b › lirik lagu people like me – lil b
- kumpulan lirik lagu asgeir › lirik lagu heart-shaped box – ásgeir
- kumpulan lirik lagu alvaro diaz › lirik lagu la milla de oro – álvaro díaz