lirik lagu oya oya – ali kiba
aah aaah aah…
oh ayoo, ooh ayoo ayoo ooh
eeh eeh…. mmmmmh
(yogo on the beats)
chovya choyo
uko ng’ari ng’ari mama
wa majuu
ushakukubali moyo
nakuita eh, nakuita
nisikie mami
makopa makopa yanajiita
jina lako nani?
we ni moko, limenipotosha
nikutinge moka, tai na suti eh
we kocha kocha, hatari na nusu
nafunganga moko, dakika buku
kama kupenda nimedhaminia kwako
sa oya oya
naheshimu mapenzi kutoka kwako
sa oya oya
nikuoe ndo uone mama
sa oya oya
na ni mwendo w*ngu ooh
mama ooh
oya oya, oya oya eh
oya oya, oya oya aah
navimba najiona mwamba
kwenye mboni siruhusu chongo maa yoo
yaani kama noma na iwe noma yoo
waonyeshe kipenzi changu cha ngama
waite yoo, waite ite
waite yoo, waite ite
waite ite, waite ite ite aah
waite oooh, waite te yoo
nakuita eh, nakuita
nisikie mami
makopa makopa yanajiita
jina lako nani?
we ni moko, limenipotosha
nikutingе moka, tai na suti eh
we kocha kocha, hatari na nusu
nafunganga moko, dakika buku
kama kupenda nimеdhaminia kwako
sa oya oya
naheshimu mapenzi kutoka kwako
sa oya oya
nikuoe ndo uone mama
sa oya oya
na ni mwendo w*ngu ooh
mama ooh
oya oya, oya oya eh
oya oya, oya oya aah
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu miwata › lirik lagu was fehlt dir (akustisch) – miwata
- kumpulan lirik lagu heimataerde › lirik lagu alptraum – heimatærde
- kumpulan lirik lagu maite inae › lirik lagu way out – maitê inaê
- kumpulan lirik lagu lord folter › lirik lagu so lala – lord folter
- kumpulan lirik lagu subtil › lirik lagu quando escrevo – subtil
- kumpulan lirik lagu jehjwheofficialprofile › lirik lagu zoom – jehjwheofficialprofile
- kumpulan lirik lagu alcione › lirik lagu o sono dos justos – alcione
- kumpulan lirik lagu electric blanket › lirik lagu karma got it right – electric blanket
- kumpulan lirik lagu soldier the brainchyld › lirik lagu dead to sin (remix) – soldier the brainchyld
- kumpulan lirik lagu faye › lirik lagu hit d’hiver – faye