lirik lagu sitaki tena – ali kiba
yogo on the beats)
umenitesa roho ni kweli sio masihara
kutwa nahuzunika lole
nikawa kama fala (nikawa kama fala)
nilijipa moyo, mbona nitafuna?
miezi donda ndugu kw*ngu sugu
kufutika never
sasa umeona, urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
sasa umeona, urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
nasema sitaki tena, tena
mi sitaki tena, tena
kurudi ya nyuma, tena
oh sitaki tena, tena
sasa umeona, tena
mi sitaki tena, tena
kurudi ya nyuma, tena
oh sitaki tena
(oh sitaki tena, oh sitaki tena)
kama unanishow, mapenzi toka china
tena una mengi majina, eti love designer
wanakuita designer, unavyojua kushona
unavyoringa kama nyuzi ya shanga
kutikisa nyonga
sasa umeona, urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
sasa umeona, urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
nasеma sitaki tena, tena
mi sitaki tena, tеna
kurudi ya nyuma, tena
oh sitaki tena, tena
sasa umeona, tena
mi sitaki tena, tena
kurudi ya nyuma, tena
oh sitaki tena (oh sitaki tena, sitaki tena)
sasa umeona, urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
sasa umeona, urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
nasema sitaki tena, tena
mi sitaki tena, tena
kurudi ya nyuma, tena
oh sitaki tena, tena
sasa umeona, tena
mi sitaki tena, tena
kurudi ya nyuma, tena
oh sitaki tena (oh sitaki tena, sitaki tena)
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu tarn pk › lirik lagu street noise – tarn pk
- kumpulan lirik lagu kirk franklin › lirik lagu he reigns / awesome god – kirk franklin
- kumpulan lirik lagu kalisway › lirik lagu my whips outside – kalisway
- kumpulan lirik lagu la rappresentante di lista › lirik lagu mina vagante (live a rimini) – la rappresentante di lista
- kumpulan lirik lagu tendon levey › lirik lagu cradle and all – tendon levey
- kumpulan lirik lagu ogasm › lirik lagu i need ya (og) – ogasm
- kumpulan lirik lagu killing joke › lirik lagu hosannas from the basements of hell (radio edit) – killing joke
- kumpulan lirik lagu jeremy flick › lirik lagu mood – jeremy flick
- kumpulan lirik lagu the pharcyde › lirik lagu live @ dodger stadium – the pharcyde
- kumpulan lirik lagu fergie › lirik lagu hungry (demo) – fergie