lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu infidèle – alikiba

Loading...

ilibidi tu nijiongeze, niliisha
pia bora nijipongeze, naonayamekwisha
lakini uliniweza maskini, uliniweza mie ukanijua
nilipungua sana bwana, ninatubu mnanicheka
ukantawala moyo ukauchukua, bila aibu ukanitesa
k*mbe ni liar, unaweza niacha mi niuliwe na mabwana zako wewe
k*mbe ni liar, unaweza niacha mi niuliwe na mabwana zako
bora nikuache we uende, nami niende
tusiishi kizembe eh, niache mawenge
bora uende, nami niende
tusiishi kizembe eh, niache mawenge ah aah

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...