lirik lagu mahaba – alikiba
siku hizi hakuna mahaba
yeah, mahaba
mapenzi ya mkataba
mpaka kufa, yamekwisha
ni neema ukiwa unahema
mapenzi yanachosha, yanafuja raha
nafsi yangu inasema
bora nimpende tu alionizaa
uchungu wa kulia daily
mapenzi yalinifanya nisile
sina k*mbuk*mbu ile
kwamba ulinikosha, no!
uchungu wa kulia daily
mapenzi yalinifanya nisile
sina k*mbuk*mbu ile
yakwamba ulinikosha, no!
mwenzako mi’ nilikufa, nikazikwa, nikaoza
mapenzi yalinitesa, yalinitupa, nimefuf*ka, yeah
mi’ nilikufa, nikazikwa, nikaoza
mapenzi yalinitesa, nimefuf*ka, yeah
s’kiza kwanza we dada
we dada
mi’ sio mgeni alishanikaba
mapenzi yalinikausha
natamani kuwa single
ila nna*upwilu unakaba koo
mabinti wenye vifundo
hao ndio mi’ wananitoa roho
na siri juu ya jambo lile
ni kama chakula lazima nile
mi’ mbovu sana wa jambo lile
na ufundi wa kutosha, ooh
na siri yake tuu jambo lile
ni kama chakula lazima nile
mi’ mbovu sana wa jambo lile
na ufundi wa kutosha, ooh
mwenzako mi’ nilikufa, nikazikwa, nikaoza
mapenzi yalinitesa, yalinitupa, nimefuf*ka, yeah
mi’ nilikufa, nikazikwa, nikaoza
mapenzi yalinitesa, nimefuf*ka, yeah
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu cj sordide › lirik lagu le roi des fous – cj sordide
- kumpulan lirik lagu в чем дело v chem delo › lirik lagu курт (kurt) – в чем дело? (v chem delo?)
- kumpulan lirik lagu mrciberluck › lirik lagu college life – mrciberluck
- kumpulan lirik lagu collin roach › lirik lagu coked out – collin roach
- kumpulan lirik lagu pavlos pavlidis › lirik lagu i nixta – η νύχτα – pavlos pavlidis
- kumpulan lirik lagu e l e y › lirik lagu damage control – e l e y
- kumpulan lirik lagu chicote › lirik lagu cavalo – chicote
- kumpulan lirik lagu fft ca › lirik lagu hobby – fft [ca]
- kumpulan lirik lagu logan matthew barnes › lirik lagu shooting stars – logan matthew barnes
- kumpulan lirik lagu fastbacks › lirik lagu my letters – fastbacks