lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu utu – alikiba

Loading...

yooooo!
(yogo on beat)
you′re sweet like pipi mamaa
i can fight it
i can k!ll someone
for you
because am in danger zone (oh no)
this feeling feeling that am feeling
it’s too much
i see future, life with you is so brighter
nakupenda sana, you know that
i′ll die for you
ooh sweet heart, life with you is sweeter
nakupenda sana, you know that
nakupenda sana, you know that
yeah
na hakuna kipya kwenye dunia
oh my love
na ndio maana tamaa n*z*zuia
oh my love
natupa maelfu kwa mamia
in this world
ila we pekee nimekuchagua
i swear to god
na umebarikiwa
utu na utulivu
umebarikiwa
utu na utulivu
licha ya upole na uzuri
utu na utulivu
umebarikiwa
utu na utulivu
ohooo
siku zote maumivu maumivu
yapo kutufunza
tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
huko nyuma huk*mu
huk*mu zilisha nik*mba
na mateso kung’ang’ania
pendo usipopendwa
niliforce kujificha kule k*mbe
chaka langu ni hapa
sasa napewa amani
mapenzi yasiyo na mipaka
ananikanda huku mabegani
ananishika na hapa
masage mgongoni
yanilevya makopa
na hakuna kipya kwenye dunia
oh my love
na ndio maana tama n*z*zuia
oh my love
natupa maelfu kwa mamia
in this world
ila we pekee nimekuchagua
i swear to god
na umebarikiwa
utu na utulivu
umebarikiwa
utu na utulivu
licha ya upole na uzuri
utu na utulivu
umebarikiwa
utu na utulivu
oooh
aaaah
namuona yeye
(*n*lia ninapokuwa)
aaaah
namuona yeye
(hakikisha ananiombea dua)
aaaah
namuona yeye
(*n*lia ninapokuwa)
aaaah
namuona yeye
(hakikisha ananiombea dua)

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...