lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu without you – anko terry

Loading...

vers i

mapema kila muda na wakati
nasema ila muda hautaki
nipe nafasi ulisema kila nyakati zamashaka
niachie uasherati ndio unataka ( hey )

siku nzima nipo solo
usiku ikifika unaenda kwenye vigodoro
without you
am gonna be lazy
maskani machizi wananiona crazy
i can’t believe no longer
mama ume change umekua kama kinyonga
nakwama sitembei nambele siwezi songa
without you
najiona kama mgonjwa

unajua siwezi ruhusu uende
me najua we unajua
basi rudi tuyapange
j*po wanafiki wanaongea
usijali tusonge
taratibu tutatoboa
mama i want you usiende
unajua kwamba nakupenda peke yako
unajua sina mwingine zaidi yako
unajua umuhimu wa moyo w*ngu kwako
ma hakuna wa kuliziba pengo lako

(chorus)
(without you) nilikupa kila kitu wewe
(without you) bado ukaniacha mwenyewe
(without you) tafadhali girl rudi nyumbani nieleweke

(without you) nilikupa kila kitu wewe
(without you) bado ukaniacha mwenyewe
(without you) tafadhali girl rudi nyumbani nieleweke

{ verse ii }

they keep saying that hatuendani
wananicheka marafiki mpaka majirani
they call me smoker
yani am smoking weed marijuana
navyo zidi kufoka ndio wananiona kama hayawani

nini umekosa kw*ngu mama
n*z*di kuomba dua ikufikie salama
sijaribu kuchoka kusota sio kihama
siunajua napambanaga usiku na mchana
upate unacho taka
uwe mvumilivu kwingine usije taka
mvumilivu hula mbivu
nakuomba uondoe mashaka
j*po shida ni nyingi hakuna anaye taka

(without you)

mama sita fanya drama
kwako nimekiri
mahaba niue niue sana
napata ujasiri mahaba niue niue sana
na hapo ndio nakiri mahaba niue ya maua sama love

{chorus}

(without you) nilikupa kila kitu wewe
(without you) bado ukaniacha mwenyewe
(without you) tafadhali girl rudi nyumbani nieleweke

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...