lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu atatenda – ashery willy

Loading...

mbona unalalamika mama
na umekata tamaa
mbona unahuzunika baba

dunia imekuelemea
waamka asubuhi, cha kutia mdomoni hakuna
na deni mtaani, kodi ya nyumba unadaiwa
watoto nao shuleni, ada wamef*kuzwa
mkeo yu hatarini, hoi kitandani anajiuguza

yuko yesu ni jibu
yupo yahwe eeh eeh

atatenda
(mahitaji yako) atakupa
(eeh mwombe yeye tu) atatenda
(mwombe,mwombe yeye)atakupa
(usikate tamaa)

ya dunia yanavunja moyo
cha msingi wewe jipe moyo
ya dunia yanavunja moyo hoouh
(moyo)
atakupa nguvu ya kustahimili mabaya hayo
msalabani alitenda heey

yupo yesu ni jibu
yupo yahwe eeh eeh

atatenda
(mwombe,mwombe yeye) atakupa
(hee eeh mahitaji yako)atatenda
(haja ya moyo wako baba)atakupa
hee eh usikate tamaa
mungu wetu hachelewi, hawahi
kwa wakati atatenda, mtumaini
mungu wetu hachelewi, hawahi
kwa wakati atatenda, atatendaa
heiyeee heeeeeeeeh

atatenda
(umechoka,umelia,umeshindwa,tumaini hauna tena)atakupa
(mweleze baba yeyeeh) atatenda
(mwambie yesu,mwambie baba)atakupa
(mwambie haja ya moyo)atatenda
(yelele yelele yelele iyeeh)atakupa
(heeh heeh baba ah)atatenda
(mwambie haja ya moyo ooh) atakupa
(usikate tamaa) atatenda
(usivunjike moyo) atakupa
(heeh heehe) atatenda
(huuuuuh huuh) atakupa

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...