lirik lagu fanya mambo – bahati
(intro)
dk kwenye beat na bahati tena
teddy b
(chorus:bahati)
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo aaah, fanya mambo
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo ewe yesu
(verse 1:dk kwenye beat)
pakatokea dhoruba kali ,ndio
mawimbi yanatisha hali, ndio
wagonjwa wametoka mbali
aaah fanya mambo
ile damu ya calvary ,ndio
bado fresh inafanya kazi, ndio
inaponya kwa kila hali
aaah fanya mambo
(chorus: bahati)
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo aaah, fanya mambo
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo ewe yesu
(verse 2 bahati)
mwokozi w*ngu,i love you mmmmwah
mwokozi w*ngu,i love you mmmmwah
nimewacha mavela ,nimewacha mabebe
nimewacha mavela ,nimewacha mabebe
mwokozi w*ngu ,i love you mmmmwah
mwokozi w*ngu ,i love you mmmmwah
nimewacha mavela ,nimewacha mabebe
nimewacha mavela ,nimewacha mabebe
(chorus: bahati)
ju umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo aaah, fanya mambo
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo ewe yesu
(verse 3: dk kwenye beat)
toka kitambo kitambo,unafanya mambo
toka kitambo kitambo,unafanya mambo
uligawanya bahari wewe,ulishinda farao wewe
uligawanya bahari wewe,ulishinda farao wewe
(chorus: bahati)
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo aaah, fanya mambo
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo ewe yesu
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu calvin harris › lirik lagu my way – calvin harris
- kumpulan lirik lagu seriious › lirik lagu intro – seriious
- kumpulan lirik lagu rameses b › lirik lagu darkest place (feat. aloma steele) – rameses b
- kumpulan lirik lagu dance gavin dance › lirik lagu betrayed by the game – dance gavin dance
- kumpulan lirik lagu kid c › lirik lagu jmpng awy – kid c.
- kumpulan lirik lagu akim and the majistret › lirik lagu lygophobia – akim and the majistret
- kumpulan lirik lagu zurriagazo › lirik lagu locura – zurriagazo
- kumpulan lirik lagu самое большое простое число › lirik lagu сон – самое большое простое число
- kumpulan lirik lagu casting crowns › lirik lagu god of all my days – casting crowns
- kumpulan lirik lagu mahesa › lirik lagu sungguh hanya dirimu (feat. dinda amora) – mahesa