lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wanani remix – bahati

Loading...

[intro: bahati]
(e*e*emb records!)
to*toto si toto (ulalaa)
nimeshinda lotto (ulalaa)
kukupata mtoto (ulalaa)

basi wewe wanani?
niambie wanani?
wanani?
kama sio w*ngu tu

[verse 1: mejja]
ah, okwonko!
hahaaa!
beshte yako ni hater
naona hatutakii
ni mtiaji itabidi umtie zii
mahater mi huwatafuta
ka shimo ya shindano
huyu manzi ni mhandi
anakaa kuitwa miano

mchoree mwambie apotelee
mwambie nakupenda itabidi azoee
we ni mrembo nakutamani
wao huskia wivu ulipenda
msee wa kitambi
[verse 2: petra]
n0body can ever take your place
you know is not gonna happen
coz i’m not an average typa lady
that’s why they tried to hate me baby

just tell me you got me
and i’ll forever stay true
you won’t ever see me
on another man rules
moyoni mw*ngu wewe
ndo wawakilisha tu
hata wafanyeje
uko stuck like glue
(oooh)
umeshinda lotto
kunipata mtoto

[chorus: bahati]
basi wewe wanani?
niambie wanani?
wanani?
kama sio w*ngu tu

basi wewe wanani?
niambie wanani?
wanani?
kama sio w*ngu tu
[verse 3: odi wa murang’a]
toto si toto ni urojorojo
apple of my eye
nakuuma kimangoto
aliyekuzaa lazima pia akuwe na uhondo
ulimi sacco wakupati, putharing omongo

mtoto ni mkia na ametoka busia
ukitaka poshomill mwana wa efue nitakushikia
nikupeleke murang’a huko kwa mw*ngi wa iria
tukule hizo manyeni na thufu ya togotia

[verse 4: ssaru]
mtoto nimeweza hadi nakujanga kwa ndoto
ye hataki niende kazi wala hataki niende soko
anaogopa siku moja mi nitatekwa na masonko
kwako nimerelax mi ata sitaki nyoko nyoko aah

nyoko nyoko za warazi wanoko
kwanza ebu baby poze ndo tupige photo moto
ukipost pale insta watasema mi ni poko
harusi ni ya waras tunaifunga kimangoto

[chorus: bahati]
basi wewe wanani?
niambie wanani?
wanani?
kama sio w*ngu tu
basi wewe wanani?
niambie wanani?
wanani?
kama sio w*ngu tu

[verse 5: benzema]
aaah! skiza skiza aah
haters wanasema mteme ndo upenye
nawajibu hii ni ndoa iliundwa heaven
usiseme sikusema watasema
watachoka na wataachana mapema

kuwa offender nitakuwa the defender
bulletproof tutabuy pia na mandeng’a
alejandro sitainyonya kama nectar
nitaimarinate na tomato sauce ya peptang

[chorus: bahati]
wanani? niambie wanani?
wanani? kama sio w*ngu tu

basi wewe wanani?
niambie wanani?
wanani?
kama sio w*ngu tu

[outro: bahati]
toto si toto (ulalaa)
nimeshinda lotto (ulalaa)
figa moto (ulalaa)
baby baby

toto, toto si toto (ulalaa)
nimeshinda lotto (ulalaa)
kukupata ndoto (ulalaa)
oh oh

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...