lirik lagu chuki – balaa mc
intro
we muushizoo utawauwaa
26 kipaajiii
verse 1
hakuna shujaa pasipo na maaduii
minishujaa nasakwa na maaduii
hii vita ni nugumu napigana na watu
ambao hauwaonii wala hauwajui
mi ni mti wenye matunda ndio maana sichoki
kila siku wananipiga mawe
niko imara sianguki niko na yumba yumba tu
matunda yakianguka kesho yataota mengine
kama ipo ipo kanipa mungu uu
kazi bure huwezi ziba riziki yangu
eti unanichukia kisa kipaji changuu
kazana kuniloga tu mi namuomba mungu
we kunguru mi mwewe sa utaweza wapi
shindana na mimi weweeee
unakazana kutenegeza mazingira
mi nishuke kimziki ili upande weweeee
ohh binadamu ata ukishi nao vizuri
watatafuta sababu tuu
ohh binadamu ata ukiwafanyia mema
lakini bado utasemwa tuu
kweli napambana usiku na mchanaa
silali natafuta ili nile na ndugu zanguu
najua kama na baba mama familiaa yanguu
inanitegemea nalijuaa juk*mu languu
#chorus
nashangaa wananichukia sijui kwanini ohh
wananisema sijui nimefanya nini mi
kwani kosa langu nini kwa nini mimi ohh
mdomoni mwao kutwa jina langu mimi
maneno ya uongo wanaongeaaa
uhakika hawana alafu wanajiaminii
figisu figisu wananifanyiaa
huruma hawana nia yao kunishusha mimi
mi najikongoja tu kidume mimii
waache waniloge najua mungu yuko namii
#verse
ila hakuna kama 26 kipajii
wanasubiri wavune wakati mi ndio mlimajii
napenda sana ushauri sijifanyi mjuajii
leo god ka bless namiliki bajajii
haya sasa woote tusemee suuu
suuzikeni na roho zenu balaa sina makuu
hata mkinuna hiyo shauri yenu tuu
mniloge mnipige ndumba tu yoote mipango ya mungu
#chorus
nashangaa wananichukia sijui kwanini ohh
wananisema sijui nimefanya nini mi
kwani kosa langu nini kwa nini mimi ohh
mdomoni mwao kutwa jina langu mimi
maneno ya uongo wanaongeaaa
uhakika hawana alafu wanajiaminii
figisu figisu wananifanyiaa
huruma hawana nia yao kunishusha mimi
mi najikongoja tu kidume mimii
waache waniloge najua mungu yuko namii
jmani mushizoo ahaa utawauwaa
lyrics by chamazi music
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu brett newski › lirik lagu things you don’t wanna do – brett newski
- kumpulan lirik lagu david duchovny › lirik lagu layin’ on the tracks – david duchovny
- kumpulan lirik lagu ylm shwty › lirik lagu ifhy – ylm shwty
- kumpulan lirik lagu tiffxny › lirik lagu waiting here forever – tiffxny
- kumpulan lirik lagu minor16 › lirik lagu чудеса (wonders) – minor16
- kumpulan lirik lagu kc › lirik lagu 9 – kc
- kumpulan lirik lagu mista l › lirik lagu voices in my head – mista l
- kumpulan lirik lagu vas yotay › lirik lagu learn 2 friend – vas yotay
- kumpulan lirik lagu umit aksoy › lirik lagu oynayın – ümit aksoy
- kumpulan lirik lagu jurgen drews ross antony › lirik lagu und wir waren wie vampire – jürgen drews & ross antony